Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

Sio hatari kiongozi...
Nakuunga mkono tupange siku ya kukutana ili tuone kama inawezekama kitu ambacho kitawezekana uoneka mapema hivyo tutakuwa na kika sababu ya kuchukua taadhali.

Mobile Traveller
 
Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
kuna Moja ilitangazwa sana humu ya dada Zainab Tamim na nmetuma Ten yangu sijajibiwaga mpaka Leo. kwa hyo ni upigaji tuu
 
Tulianzisha hapa na tukapigwa na member wa humu we acha ila tulikodi ofisi ufipa kwa miaka 2 bila hata kufanya lolote na jutia ile pesa ningeipiga ulabu kuna member hapa wanacheka maana walijaribu...ila nisikukatishe tamaa ila nitakuwa wa mwisho.

Mobile Traveller
yaaaaniii. staki kukumbuka tulivyoshindwa ile ishu.
 
Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
kila la heri, jiandae tu na changamoto ya watu kutohudhuria vikao ila kwenye hela wepesi kutoa.
 
Yaani tujuane iwe km magroup ya whatsap ukimuandika vibaya bashite au baba yake wenzio wanakuchoma....!!

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Tunaojua computer technlogy tukiamua kukudaka tunakudaka kwa hiyo hiyo Id fake,hata usijidanganye ww

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tunaojua computer technlogy tukiamua kukudaka tunakudaka kwa hiyo hiyo Id fake,hata usijidanganye ww

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa sababu unadhani watu wote hapa ni km wewe!? Hivi ingekuwa rahisi km unavyodanganya,wangehangaika kuwakamata akina mexence mello ili watoe taarifa zetu??

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nadhani huko kwenye SACCOS,majina ambayo yanatakiwa yatumike ni yale yakweli,lasivyo USALAMA utadili na wale ambao kwa namna moja au nyingine,walishafanya makosa ya kimtandao humu ndani,nakushindwa kutiwa nguvuni kwasababu ya usiri uliomo humu.
 
KWANI USWISI HELA WATU WANAWEKEJA .............

TUNATENGENEZA MFUMO WETU WA ULINZI PIA AMBAO ITAKUWA NGUMU KWA MEMBERS KUJULIKANA
 
kila la heri, jiandae tu na changamoto ya watu kutohudhuria vikao ila kwenye hela wepesi kutoa.

TUNAOMBA MSAADA WA MAWAZO PLEASE............... INAONEKANA UKO POSITIVE NA HILI
 
Kama nitapata huduma kwa jina hili la Fyatu...basi naunga mkono hoja.

Coz wengine tukijaribu tu kubadili jina tunayeyuka.
 
mbona mkoo soo negative jamani???

Am sure mkimpata mtu aliyesoma project management,hii ishu itafanikiwa vizuri tu.

kama mnaogopa kujulikana,usimwambie mtu ID yako😉😉

toa mchango kwa jina lako kwa mfano precious ukontizwe,hakuna anayejua wewe ni nani kwenye JF
 
Andaa utaratibu kisha urudi

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom