CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Nakumbuka sana Jf Saccosmkuu tulishanzisha ikagoma.... tilichanga hela tukawa na ofs nzuri sana hapo kinondoni tukafanya parttion tukasajili ikakomea padogo sana watu kwenye vikao hawaji tukaaamua kukubaliana kuwa tumeshindwa.... kaka kiiza, nampesia, nawengine..... ikashindikana bana
Wewe ni mani? Njoo na Verfied User kama sisi make kwa jina lako tu no trust mkuuu hakuna atakaye kuaminiSafari hii tutajitahidi mkuu
Cha kike kivipi?Maniner kumbe na wewe uliingia cha kike... nyambaf
Imposible kwa sababu Wabongo all time tunawaza Negative all time ni negtive.Impossible
Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo utakua mwenyewe.. na hizi ID zetu nani ajeeWahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
Kwa nini watu mnakuwa waogoa sana? Shida humu watu ni sehemu ya Kupumzikia wakitoka kwenye kazi za kuajiriwa.Nadhani huko kwenye SACCOS,majina ambayo yanatakiwa yatumike ni yale yakweli,lasivyo USALAMA utadili na wale ambao kwa namna moja au nyingine,walishafanya makosa ya kimtandao humu ndani,nakushindwa kutiwa nguvuni kwasababu ya usiri uliomo humu.
Humu wamejaaa wafanyakazi so commitment ni sawa na Negative.KWANI USWISI HELA WATU WANAWEKEJA .............
TUNATENGENEZA MFUMO WETU WA ULINZI PIA AMBAO ITAKUWA NGUMU KWA MEMBERS KUJULIKANA
Mnayeyuka kivipi?Kama nitapata huduma kwa jina hili la Fyatu...basi naunga mkono hoja.
Coz wengine tukijaribu tu kubadili jina tunayeyuka.
Mkuu mi natoa tahadhari tu kwa mtu mwenye lengo lakuingia kwenye SACCOS,namsihi atumie ID nyingine endapo aliwahi amzisha nyuzi nyingi zakutoa siri zinazoihusu serikali.Kwa nini watu mnakuwa waogoa sana? Shida humu watu ni sehemu ya Kupumzikia wakitoka kwenye kazi za kuajiriwa.
Humu wale wati siriasi walisha sepa siku nyingi mno wanafanya kuchungulia tu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Ishu iko hivi watu kwanza humu ni sehemu ya kupumzikia Hili jukwaa ilikuwa zamani enzi hizo hadi tunakutana live kabisa.mbona mkoo soo negative jamani???
Am sure mkimpata mtu aliyesoma project management,hii ishu itafanikiwa vizuri tu.
kama mnaogopa kujulikana,usimwambie mtu ID yako😉😉
toa mchango kwa jina lako kwa mfano precious ukontizwe,hakuna anayejua wewe ni nani kwenye JF
Nyie mmejiunga Jf Juzi? Hahahaa tusha hadi kutana tusha wahi fanya mikutano kibao Dar mkutano wa.mwisho tulifanyiaga Lombo Green view.Mkuu mi natoa tahadhari tu kwa mtu mwenye lengo lakuingia kwenye SACCOS,namsihi atumie ID nyingine endapo aliwahi amzisha nyuzi nyingi zakutoa siri zinazoihusu serikali.
Ishu iko hivi watu kwanza humu ni sehemu ya kupumzikia Hili jukwaa ilikuwa zamani enzi hizo hadi tunakutana live kabisa.
Humu unaweza kukuta walio comited ni zero au mmoja.
Ila ukweli ni kwamba nina Wakenya wamekuja kuwekeza Arusha kwenye kilimo.kwa kukopa kwenye saccos yao ambayo wao ni members.
Sisi tuendelee tu kutumikia wale waio kuwa na uoga.
Post sent using JamiiForums mobile app
Kuna Njia nyingine ya Kuendesha Vikao au hata Kutoa mikopo kwa njia ya Simu. Hii niliiona Zambia kwenye Vikundi vya Hisa ni the best method ever. Inatengenezwa program tu kwa kushirikiana na Benki husika ambayo Saccos wana akaunt.Mkuu Chasha,
I think mlipofail ni kuwaza kila mmoja mwanajamii atatoa 'ushirikiano' kwa kuhudhuria '''vikao' vyenu,
mlipokosa 'ushirikiano' mkavunja office,
ningependa kukusahihisha,
ili swala la vikao haliwezekani
swala la kumeet physically haliwezekani sababu kuna watu wengi tu hawako Tanzania,na wengine wana commitments nyingine,
hata watu kumi tu wa JF,wanaweza kukutana na kuteua changamoto zinazoikumba jamii yetu.sio lazima members wote,
Mie napendekeza mfanye fund raising.kiasi mnachopata ndio mfanye mtaji wa kujiendesha wenyewe,sio kusubiri kupewa msaada peke na members ,rubuni njia za kujiendesha wenyewe,kifedha,
Good idea,tuanasubiri machanganua na strategic za hiyo saccoss tujiunge mkuu.Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
Wazo zuri hilo la zambia..... share with us pleaseKuna Njia nyingine ya Kuendesha Vikao au hata Kutoa mikopo kwa njia ya Simu. Hii niliiona Zambia kwenye Vikundi vya Hisa ni the best method ever. Inatengenezwa program tu kwa kushirikiana na Benki husika ambayo Saccos wana akaunt.
Post sent using JamiiForums mobile app
Inahitajika Saccoss strategic(Artical of Sacco's) nzuri ili kuweza kukabili internal challange za hiyo saccos. Sio lazima iwe na watu kibaooo, hats kama wakiwa 25 +ve member inatosha. Hiyo ni kulingana na sheria za uundaji was taasisi ya kifedha Tanzania.Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
Wazo zuri..... Tuendelee kupokea na kuona walio seriousInahitajika Saccoss strategic(Artical of Sacco's) nzuri ili kuweza kukabili internal challange za hiyo saccos. Sio lazima iwe na watu kibaooo, hats kama wakiwa 25 +ve member inatosha. Hiyo ni kulingana na sheria za uundaji was taasisi ya kifedha Tanzania.
Wahenga walisema "failure to plan,is plan to fail".
Nimekuelewa Maili 100 Mbele!Mtu Mzito
Kelvin Isaya
n.k