Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

mkuu tulishanzisha ikagoma.... tilichanga hela tukawa na ofs nzuri sana hapo kinondoni tukafanya parttion tukasajili ikakomea padogo sana watu kwenye vikao hawaji tukaaamua kukubaliana kuwa tumeshindwa.... kaka kiiza, nampesia, nawengine..... ikashindikana bana
Nakumbuka sana Jf Saccos

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Maniner kumbe na wewe uliingia cha kike... nyambaf
Cha kike kivipi?

Watanzania tuna ibinafisi sana na Hizi Ajira ndo zinatupa kiburi.

Kuna vijana wakenya wamekuja kuwekeza Arusha kwa mkopo wa Saccos yao huko kwao.

Kenya wana Saccoa nyingi kuliko nchi yoyote ile Africa na zimefanimiwa mno.

Sisi tuendelee na Uoga wetu na Aibu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Impossible

Post sent using JamiiForums mobile app
Imposible kwa sababu Wabongo all time tunawaza Negative all time ni negtive.

Tunawaza dhuruma, kutapeliwa, kuibiwa, kurushwa, kushindwa na kadhalika.

Hayo ndo mawazo yetu makuu halafu eti wajasiriamali.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
Hiyo utakua mwenyewe.. na hizi ID zetu nani ajee
 
Nadhani huko kwenye SACCOS,majina ambayo yanatakiwa yatumike ni yale yakweli,lasivyo USALAMA utadili na wale ambao kwa namna moja au nyingine,walishafanya makosa ya kimtandao humu ndani,nakushindwa kutiwa nguvuni kwasababu ya usiri uliomo humu.
Kwa nini watu mnakuwa waogoa sana? Shida humu watu ni sehemu ya Kupumzikia wakitoka kwenye kazi za kuajiriwa.

Humu wale wati siriasi walisha sepa siku nyingi mno wanafanya kuchungulia tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
KWANI USWISI HELA WATU WANAWEKEJA .............

TUNATENGENEZA MFUMO WETU WA ULINZI PIA AMBAO ITAKUWA NGUMU KWA MEMBERS KUJULIKANA
Humu wamejaaa wafanyakazi so commitment ni sawa na Negative.

Mimi ningewapatia Program moja inayo tumiwa Zambia na tulienda kustady Zambia ni nzuri ssna kwa Saccos yaani members wana oparate bila kuonana very nice.

Ila sio humu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini watu mnakuwa waogoa sana? Shida humu watu ni sehemu ya Kupumzikia wakitoka kwenye kazi za kuajiriwa.

Humu wale wati siriasi walisha sepa siku nyingi mno wanafanya kuchungulia tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu mi natoa tahadhari tu kwa mtu mwenye lengo lakuingia kwenye SACCOS,namsihi atumie ID nyingine endapo aliwahi amzisha nyuzi nyingi zakutoa siri zinazoihusu serikali.
 
mbona mkoo soo negative jamani???

Am sure mkimpata mtu aliyesoma project management,hii ishu itafanikiwa vizuri tu.

kama mnaogopa kujulikana,usimwambie mtu ID yako😉😉

toa mchango kwa jina lako kwa mfano precious ukontizwe,hakuna anayejua wewe ni nani kwenye JF
Ishu iko hivi watu kwanza humu ni sehemu ya kupumzikia Hili jukwaa ilikuwa zamani enzi hizo hadi tunakutana live kabisa.

Humu unaweza kukuta walio comited ni zero au mmoja.

Ila ukweli ni kwamba nina Wakenya wamekuja kuwekeza Arusha kwenye kilimo.kwa kukopa kwenye saccos yao ambayo wao ni members.

Sisi tuendelee tu kutumikia wale waio kuwa na uoga.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mi natoa tahadhari tu kwa mtu mwenye lengo lakuingia kwenye SACCOS,namsihi atumie ID nyingine endapo aliwahi amzisha nyuzi nyingi zakutoa siri zinazoihusu serikali.
Nyie mmejiunga Jf Juzi? Hahahaa tusha hadi kutana tusha wahi fanya mikutano kibao Dar mkutano wa.mwisho tulifanyiaga Lombo Green view.

Shida zenu Humu watu wanachanganya siasa na Ujasiriamali.

Wale walio kuwa members wa Hili jukwaa wengi walisha sepa siku nyingi wanafanya mambo siriasi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Aisee Mkuu Mimi wa kwanza naleta form ya Mkopo milioni 1 kahela kamboga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ishu iko hivi watu kwanza humu ni sehemu ya kupumzikia Hili jukwaa ilikuwa zamani enzi hizo hadi tunakutana live kabisa.

Humu unaweza kukuta walio comited ni zero au mmoja.

Ila ukweli ni kwamba nina Wakenya wamekuja kuwekeza Arusha kwenye kilimo.kwa kukopa kwenye saccos yao ambayo wao ni members.

Sisi tuendelee tu kutumikia wale waio kuwa na uoga.

Post sent using JamiiForums mobile app

Mkuu Chasha,

I think mlipofail ni kuwaza kila mmoja mwanajamii atatoa 'ushirikiano' kwa kuhudhuria '''vikao' vyenu,

mlipokosa 'ushirikiano' mkavunja office,

ningependa kukusahihisha,

ili swala la vikao haliwezekani

swala la kumeet physically haliwezekani sababu kuna watu wengi tu hawako Tanzania,na wengine wana commitments nyingine,

hata watu kumi tu wa JF,wanaweza kukutana na kuteua changamoto zinazoikumba jamii yetu.sio lazima members wote,

Mie napendekeza mfanye fund raising.kiasi mnachopata ndio mfanye mtaji wa kujiendesha wenyewe,sio kusubiri kupewa msaada peke na members ,buni njia za kujiendesha wenyewe,kifedha,
 
Mkuu Chasha,

I think mlipofail ni kuwaza kila mmoja mwanajamii atatoa 'ushirikiano' kwa kuhudhuria '''vikao' vyenu,

mlipokosa 'ushirikiano' mkavunja office,

ningependa kukusahihisha,

ili swala la vikao haliwezekani

swala la kumeet physically haliwezekani sababu kuna watu wengi tu hawako Tanzania,na wengine wana commitments nyingine,

hata watu kumi tu wa JF,wanaweza kukutana na kuteua changamoto zinazoikumba jamii yetu.sio lazima members wote,

Mie napendekeza mfanye fund raising.kiasi mnachopata ndio mfanye mtaji wa kujiendesha wenyewe,sio kusubiri kupewa msaada peke na members ,rubuni njia za kujiendesha wenyewe,kifedha,
Kuna Njia nyingine ya Kuendesha Vikao au hata Kutoa mikopo kwa njia ya Simu. Hii niliiona Zambia kwenye Vikundi vya Hisa ni the best method ever. Inatengenezwa program tu kwa kushirikiana na Benki husika ambayo Saccos wana akaunt.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
Good idea,tuanasubiri machanganua na strategic za hiyo saccoss tujiunge mkuu.
 
Kuna Njia nyingine ya Kuendesha Vikao au hata Kutoa mikopo kwa njia ya Simu. Hii niliiona Zambia kwenye Vikundi vya Hisa ni the best method ever. Inatengenezwa program tu kwa kushirikiana na Benki husika ambayo Saccos wana akaunt.

Post sent using JamiiForums mobile app
Wazo zuri hilo la zambia..... share with us please
 
Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
Inahitajika Saccoss strategic(Artical of Sacco's) nzuri ili kuweza kukabili internal challange za hiyo saccos. Sio lazima iwe na watu kibaooo, hats kama wakiwa 25 +ve member inatosha. Hiyo ni kulingana na sheria za uundaji was taasisi ya kifedha Tanzania.
Wahenga walisema "failure to plan,is plan to fail".
 
Wazo zuri..... Tuendelee kupokea na kuona walio serious
 
Kwa nn? Msitumie masoko ya mitaji kwa ajili ya kufungua izo ishu maana kule kuna watu wa kila aina na professionals katika masoko ya mitaji. Kuliko kubebana na mtu asiyejua maswala ya business kuchangishana pesa, mwisho wa siku ni kuzulumiana.
 
Back
Top Bottom