Jamii ya Kiarabu ni watu wakorofi, washari, wenye ukatili na wasio na utu?

Jamii ya Kiarabu ni watu wakorofi, washari, wenye ukatili na wasio na utu?

Vyombo vya ulinzi na usalama ni kuwa makini sana na timu za kiarabu na mashabiki wao wanapokuja nchini. Kuna wengine hubeba ajenda za siri, ajenda za kisiasa kuja kuonesha huku. Jana kulikuwa na mbendera mkubwa na sio moja wa palestina ulikuwa ukipepezwa uwanjani. Kwani timu ya palestina ilikuja? Hiyo ilikuwa ni vurugu tu. Kwa nini wasipepeze bendera yao ya tunisia kama ile ya tanzania iliyokuwa inapepezwa na shabiki mmoja? Mwisho mashabiki hayo ya kiaarabu yakang'oa viti kibabe uwanja wa taifa bila hofu wakiwa ugenini. Hivi kuna mtanzania anaweza kwenda tunisia, morocco, algeria na misri akang'oe vitu uwanjani kwa jazba tu kisa simba, yanga, azam, mlandege na sbc imefungwa? Waarabu hawana heshima na uungwana katika nchi za watu wengine
Tatizo ni KILE kitabu 😭😭
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

"Waislamu wasio Waarabu wanastahili kuitwa kama
mbwa wetu .. " Mhubiri wa Saudi Wahabi!

WAARABU ndio Waislamu wa kweli
na vizazi vya kweli vya
Mtume Muhammad ..
“Wasio Waarabu ambao bila haya, walijiita
wenyewe waislamu
Waongofu ambao ni waoga duni na
nafsi zisizo na heshima Ambazo zilikuwa
kuzidiwa kwa urahisi na Upanga
wa Mwenyezi Mungu, ndivyo walivyostahiki kuwa
wanaitwa Mbwa wetu.."
Muhammad Al-Arifi
Shehe wa Kiwahabi wa Saudia
Screenshot_20240320-111517~2.jpg
 
Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya.

Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk

Lakini angalieni pia matches hata zinazochezwa hapa Tz na teams toka kwa nchi za Kiarabu. Leteni majibu.
Na ni watu wenye uthubutu ambao wakiamua kupambana na wewe hawajali kama una vifaru wao mawe. Yani ni watu ambao kibongo bongo ni kama wakurya. Hata wakurya tunasema ni makatili ila wana misimamo hawaendeshwi kama gari bovu.
 
Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya.

Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk

Lakini angalieni pia matches hata zinazochezwa hapa Tz na teams toka kwa nchi za Kiarabu. Leteni majibu.
Post imekaa kijinga
 
Tatizo ni KILE kitabu 😭😭
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

"Waislamu wasio Waarabu wanastahili kuitwa kama
mbwa wetu .. " Mhubiri wa Saudi Wahabi!

WAARABU ndio Waislamu wa kweli
na vizazi vya kweli vya
Mtume Muhammad ..
“Wasio Waarabu ambao bila haya, walijiita
wenyewe waislamu
Waongofu ambao ni waoga duni na
nafsi zisizo na heshima Ambazo zilikuwa
kuzidiwa kwa urahisi na Upanga
wa Mwenyezi Mungu, ndivyo walivyostahiki kuwa
wanaitwa Mbwa wetu.."
Muhammad Al-Arifi
Shehe wa Kiwahabi wa SaudiaView attachment 3177906
Mimi siyo muislam lakini nakuhakikishia usifanye haya mkuu. Watakuja muda siyo mrefu kukuzingua maana hata wabongo hujiita waarabu
 
Dawa ya waarabu ni kuwadunda bila kuwachekea.
Yaani ilitakiwa pale ijulukane kumi wamekufa, Saba wamejeruhiwa.
Ndio wangekuja na heshima siku nyingine
 
Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya.

Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk

Lakini angalieni pia matches hata zinazochezwa hapa Tz na teams toka kwa nchi za Kiarabu. Leteni majibu.
Wanaamini, haki ya kushinda ni yao, haki ya kuishi ni yao peke yao. Haki ya kidini ni yao. Haki ya chochote ni yao. Wanapopoteza hata kwa kushindwa kihalali huhusi wameporwa. Ni kweli wana laana.
 
waara
Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya.

Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk

Lakini angalieni pia matches hata zinazochezwa hapa Tz na teams toka kwa nchi za Kiarabu. Leteni majibu.
waarabu ni wa2 wabaya sana!!!,,,,angalia ata dada ze2 wakienda kufanya kazi kwao!!!....ni wa2 wenye jazba,hawana surra na makatili sana!!
 
Nahisi ndio maana wakapelekewa mitume huko, sababu mitume walikuwa wanatumwa kwa watu waliopotoka, waarabu na ndugu zao Wayahudi ni washenzi washenzi sana.
Wayahudi hawana ujinga huo wao hutumia akili nyingi wewe!
 
Munachanganya Waarabu na Dini .Sasa endeleeni kuchanganya dini na uarabu ili mutoe chuki zenu .Leteni matusi yenu.
Tupe tofauti Yao.
Ila kumbuka dini ya mashariki ya kati uambatana na tamaduni zao.
Uarabu ni utamaduni
Na huo utamaduni ndio dini Yao.
Lugha yao ndio kiarabu
Na ni lugha takatifu hata kwa uislamu
 
Wayahudi hawana ujinga huo wao hutumia akili nyingi wewe!
Pengine udini umekuvuruga ama kichwa yako si MSURI. hawa wakina Netanyahu sio wayahudi, huyo Netanyahu asili yake ni Poland huko baba yake mzee benzion Mileikowsky, alikuja kubadili jina baadae, lakini hakuwaakiitwa Netanyahu.
Wayahudi wenyewe ni mawenge kama waarabu, refer walivyowafanyia manabii wao
 
If you read the history for the past 500 years, Sweden which is now the most peaceful place on Earth, was the most violent nation in Europe.

And the peaceful Norwegians, Finns and Danes are the descendants of the violent vikings, who terrorized the British isles.

Your assumptions are rooted on ignorance, racial hatred and religious stigma. They defy logical comprehension.​

Nimejikuta tu " non sense " imenitoka Mkuu
Huwezi ku justify "ujinga" wa "waarab" kwa kuwafananisha na " wadanish or finns" kwa namna yoyote ile
Waarab ni wajinga, wabinafsi, wachoyo, wakatili, na wasio na utu kuliko hata sisi waafrica.
 
Kama ni mashabiki wa waarabu ndio wamamefanya uharibifu wa uwanja you are right ila kama ni mashabiki wa Simba ndio waling'oa viti baada ya kuchokozwa na waarabu basi mashabiki wa Simba ndio wajinga na wapumbafu zaidi

Waarabu huwa ni kweli wanafujo sana wakiwa kwao lakini hujawai ona wanaharibu uwanja wao
 
If you read the history for the past 500 years, Sweden which is now the most peaceful place on Earth, was the most violent nation in Europe.

And the peaceful Norwegians, Finns and Danes are the descendants of the violent vikings, who terrorized the British isles.

Your assumptions are rooted on ignorance, racial hatred and religious stigma. They defy logical comprehension.​
Ondoa ujinga wako hapa,waarabu ni jamii korofi hilo lipo wazi, ndiomaana wanachofanywa na Israel tunakifurahia sababu ndio walichokitaka,toa sababu hata Moja ya msingi ya wale mashabiki jana kuanza kung'oa viti
 
Back
Top Bottom