Jamii ya Kitanzania iache kulazimishana kuongea na watu, kama mtu huyo hapendi

Jamii ya Kitanzania iache kulazimishana kuongea na watu, kama mtu huyo hapendi

Tabu gani mkuu
Kadri unavokua ant-social unazidi kujitengenezea ugumu hata kwenye mahusiano, mara nyingi watu kama nyie wanawake wanashindwa kuishi na nyie kutokana na hiyo tabia ya ukimwa kupitiliza, sasa kama swala la familia hutaona ni muhimu ukaanza kutengeneza ukaribu na wanawake, basi jiandae kuteseka sana hapo baadaye

Kwa sasa unaweza usione athari zake
 
Kadri unavokua ant-social unazidi kujitengenezea ugumu hata kwenye mahusiano, mara nyingi watu kama nyie wanawake wanashindwa kuishi na nyie kutokana na hiyo tabia ya ukimwa kupitliza, sasa kama swala la familia hutaona ni muhimu ukaanza kutengeneza ukaribu na wanawake , basi jiandae kuteseka sana hapo baadaye

Kwa sasa unaweza usione athari zake
Hapa nilipo nina marafiki zangu watatu ambao huwa nikikutana nao napiga nao story vizuri tu. Kwa hiyo najua mke na familia haviwezi kunishinda
Ni vile tu majority siongei nao, kwa hiyo wana take it personal
 
Mimi ni mmoja ya watu wasiopendelea kupigapiga mastory yasiyoeleweka.

Na hii imepelekea kutopenda kuchangamana sana kwenye vijiwe vya kupiga soga.
Mara nyingi kama nimejipa off ktk harakati za kujitaftia mkate, basi hushinda home nimechill na wanangu.
Hii imenijengea uwezo na ufahamu wa kuwaelewa kiundani wanangu na familia kiujumla!
Imenifanya ku play part kubwa ktk malezi ya wanangu. Pale uwezo wa mama yao kimalezi unapogota, basi mimi hujazia na kufanya maboresho zaidi.

Huwa sijali jamaa wananichukuliaje, make kawaida yangu nikipitia karibu na hivyo vijiwe vyao ni kuwapa salamu utani kidogo wa kawaida kisha napita zangu.
Ikitokea kuna jambo la kijamii, hapo ndo nitashirikiana nao. Ila wale wapuuzi wapenda umbea hujitenga nami automatically.

Keep busy yourself, no one will dare getting close to you.
Kuna wajinga wengine hupenda kukuongelesha ili tu ajipenyeze kwenye maisha yako na kujua harakati(siri) zako kisha kuziexpose kwa watu.
 
Ungekuwa busy na mambo yako sidhani hata kama ungeweza kugundua kama huwa wanakusema.!

Kwa namna moja ama nyingine naweza kusema huwa unawazingatia, if yes basi wewe ukimya siyo tabia yako bali kuna namna utakuwa umeathirika na kitu fulani kilichopelekea upende kuwa kivyako vyako.
 
Sio kweli kwamba ukiwa busy na mambo yako huwezi kuwasikia watu wakikusema, labda kama ni kiziwi au una matatizo ya kusikia
Pia haijalishi sababu ya mimi kuwa kimya ni nini. Sitaki mtu aje kuniambia kuwa napaswa ku socialize
 
Walikufuata kukwambia au ni wewe ndiye uliye sikia suddenly wakikusema?
 
Walikufuata kukwambia au ni wewe ndiye uliye suddenly wakikusema?
Mfano mzuri leo (namaanisha Jumapili), wameniona napita wakaniita kwenye story zao wanaanza kunipa tano as if wanataka kuniambia cha maana, wamemaliza salamu ghafla wanaanza kuniuliza habari za mimi kuto socialize, na sio mara yao ya kwanza. Sijui wanadhani nina shida. Nimechoka kujitetea kwamba sina shida yoyote
Pia ninasikia wakinisema. Niko chuo mkoa wa watu huku kwa hiyo nakaa mtaani. So, nasikia wakinisema kuwa siongei na watu, muda nikiwa zangu ndani wao wako nje wanapiga story. Nimewasikia kama mara mbili hivi
 
Wala usijali kuhusu hilo. Binadamu hutamfunga mdomo hata siku moja. Kuongea ni jadi yake.
 
Back
Top Bottom