AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Mpe bia takeaway hatakaa kimya ila ataongea kidogo tuUnakuta mtu unapenda kukaa peke yako kimya bila kusumbua watu, unashangaa wanaanza kukuuliza mbona huongei na watu, na kuanza kukupangia kuwa unapaswa uanze kuongea na watu
Jifunze kuchukulia kawaida tu, utakasirika kila siku bure.Sahihi mkuu, ila tatizo na wao wanasahau hata mtu mkimya pia hana nia mbaya nao
Kadri unavokua ant-social unazidi kujitengenezea ugumu hata kwenye mahusiano, mara nyingi watu kama nyie wanawake wanashindwa kuishi na nyie kutokana na hiyo tabia ya ukimwa kupitiliza, sasa kama swala la familia hutaona ni muhimu ukaanza kutengeneza ukaribu na wanawake, basi jiandae kuteseka sana hapo baadayeTabu gani mkuu
Hapa nilipo nina marafiki zangu watatu ambao huwa nikikutana nao napiga nao story vizuri tu. Kwa hiyo najua mke na familia haviwezi kunishindaKadri unavokua ant-social unazidi kujitengenezea ugumu hata kwenye mahusiano, mara nyingi watu kama nyie wanawake wanashindwa kuishi na nyie kutokana na hiyo tabia ya ukimwa kupitliza, sasa kama swala la familia hutaona ni muhimu ukaanza kutengeneza ukaribu na wanawake , basi jiandae kuteseka sana hapo baadaye
Kwa sasa unaweza usione athari zake
Sio kweli kwamba ukiwa busy na mambo yako huwezi kuwasikia watu wakikusema, labda kama ni kiziwi au una matatizo ya kusikiaUngekuwa busy na mambo yako sidhani hata kama ungeweza kugundua kama huwa wanakusema.!
Kwa namna moja ama nyingine naweza kusema huwa unawazingatia, if yes basi wewe ukimya siyo tabia yako bali kuna namna utakuwa umeathirika na kitu fulani kilichopelekea upende kuwa kivyako vyako.
Walikufuata kukwambia au ni wewe ndiye uliye sikia suddenly wakikusema?Sio kweli kwamba ukiwa busy na mambo yako huwezi kuwasikia watu wakikusema, labda kama ni kiziwi au una matatizo ya kusikia
Pia haijalishi sababu ya mimi kuwa kimya ni nini. Sitaki mtu aje kuniambia kuwa napaswa ku socialize
Mfano mzuri leo (namaanisha Jumapili), wameniona napita wakaniita kwenye story zao wanaanza kunipa tano as if wanataka kuniambia cha maana, wamemaliza salamu ghafla wanaanza kuniuliza habari za mimi kuto socialize, na sio mara yao ya kwanza. Sijui wanadhani nina shida. Nimechoka kujitetea kwamba sina shida yoyoteWalikufuata kukwambia au ni wewe ndiye uliye suddenly wakikusema?
Wala usijali kuhusu hilo. Binadamu hutamfunga mdomo hata siku moja. Kuongea ni jadi yake.Mfano mzuri leo (namaanisha Jumapili), wameniona napita wakaniita kwenye story zao wanaanza kunipa tano as if wanataka kuniambia cha maana, wamemaliza salamu ghafla wanaanza kuniuliza habari za mimi kuto socialize, na sio mara yao ya kwanza. Sijui wanadhani nina shida. Nimechoka kujitetea kwamba sina shida yoyote
Pia ninasikia wakinisema. Niko chuo mkoa wa watu huku kwa hiyo nakaa mtaani. So, nasikia wakinisema kuwa siongei na watu, muda nikiwa zangu ndani wao wako nje wanapiga story. Nimewasikia kama mara mbili hivi
Introvert ni ugonjwa wa wazungu. Sisi weusi utaitwa MchawiWatakuja wakudanganye ooh wewe ni introvert na uongo kibao.
Punguza kupiga puli