Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.

Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano.
images (15).jpeg

images (15).jpeg

images (14) (1).jpeg

Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli.

Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake". (KITABU CHA MKWELI MWAMINIFU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
 
Waislam kukimbilia nchi za magharibi na kununua makanisa ulaya na kuyageuza misikiti huko si kukua kwa uislam ulaya bali ni kufa kwa uislam. Uislam wa ulaya na amerika utakuwa ni uislam wa ajabu kama inavynanza kujitokeza. Haya sasa wanaunga mkono ushoga!
 
Hii haina tofauti ni ile kesi ya kanisa katoliki na wakristo wazungu wanaokubali mashoga...

Ni baadhi ya waislamu walioamua kutafsiri Quran kwa mtazamo wao.

Haimaanishi waislamu wote wanakubali ushoga.
Ni kweli ila cha kushangaza kuna WANAFIQ humu wanasema hao si Waislam na Hakuna Muislam Shoga🤣🤣🤣
 
Hao si waislam, ni kikundi kidogo cha wahuni tu ambao wamejikusanya na kufanya huu upuuzi hapo,,
Kwani uislamu unasemaji juu ya mashoga,?
MFANYAJI NA MFANYWAJI WOTE WAPIGWE MAWE HADI KUFA, sasa kama ndio ipo hivyo hao wahuni wanatoka wapi na wanatumia kigezo gani,,,
Hata kwa picha tu unaona kabisa kuwa ni uongo huo unatengenezwa na kupewa nguvu na media
 
Sio Waislam ni watu wa Dini gani? Huyo mmoja amekiri kabisa ingawa ni Muislam lakini anapenda Usawa

Yeye akubali kuwa ni Muislam, wewe ukatae...are you serious???
 
Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.

Pichani ni waislamu wa uk wakifuragia mwenendo wa maandamano.
View attachment 3140563
Unawajua hawa au ndio kila kitu ukikiona google unapost tu? Hawa ni group dogo lilionzishwa 2017, kwa ajili ya kuoingana na kanuni za kiislamu.

LInapata support kubwa kutoka kwa wazungu na kupinga sheria za kiislamu , hawa wanatetea haki za ushoga na kwa makusudi wanapinga shwria zoye za kiislamu, kwa kofupi ni moja ya sinema za wazungu katika kupigana na uislamu
 
Hao si waislam, ni kikundi kidogo cha wahuni tu ambao wamejikusanya na kufanya huu upuuzi hapo,,
Kwani uislamu unasemaji juu ya mashoga,?
MFANYAJI NA MFANYWAJI WOTE WAPIGWE MAWE HADI KUFA, sasa kama ndio ipo hivyo hao wahuni wanatoka wapi na wanatumia kigezo gani,,,
Hata kwa picha tu unaona kabisa kuwa ni uongo huo unatengenezwa na kupewa nguvu na media
Hiki kiarabu cha katikati ni Kishoga maarufu lakini pia kinaswali sana na Azana anapiga vizuri tu
Queer_Community_RAR.png
images - 2024-11-01T155313.800.jpeg
 
NADHANI HUFAHAMU TOFAUTI YA MUISLAMU NA ASIYEKUWA MUISLAMU-(KAFIRI), KWA MTAZAMO WAKO KWA KUPITIA HIZO PICHA HAPO KUNA MUISLAMU? HAKUNA MWANAMKE WA KIISLAMU ANAYETOKEA HADHARANI AKIWA KICHWA WAZI NA KUONEKANA MAUNGO YAKE YA MWILI KAMA ILIVYO KWENYE HIYO PICHA, UISLAMU SIO JINA LA MTU ISIPOKUWA UISLAMU NI MATENDO YANAYOASHIRIA UISLAMU, KUJIITA TU MUISLAMU BILA KUWA NA MATENDO YENYE KUAKISI TABIA NA MWENENDO WA KIISLAMU BADO HAITOSHI KUJIITA AU KUWAITA WAISLAMU, MTOA POST HUPASWI KUICHAFUA DINI YA UISLAMU KWA KUWAITA HAO NI WAISLAMU, HAO SIO WAISLAMU ISIPOKUWA HAO WAPO KWA AJILI YA KUUCHAFUA UISLAMU NA UISLAMU HAUWEZI KUCHAFUKA NA KUCHAFULIWA KWA NJIA HIZI NA KWA NAMNA YOYOTE ILE MPAKA KIAMA KINASIMAMA.
Vipi hilo bango walilo nalo mtoa mada ndo ka edit?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom