Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.
Ngoja wamalize biashara waje hapa
images.jpeg
 
Hao si waislam, ni kikundi kidogo cha wahuni tu ambao wamejikusanya na kufanya huu upuuzi hapo,,
Kwani uislamu unasemaji juu ya mashoga,?
MFANYAJI NA MFANYWAJI WOTE WAPIGWE MAWE HADI KUFA, sasa kama ndio ipo hivyo hao wahuni wanatoka wapi na wanatumia kigezo gani,,,
Hata kwa picha tu unaona kabisa kuwa ni uongo huo unatengenezwa na kupewa nguvu na media
Kama ndivyo
Uislamu unasemaje kuhusu wazinzi ?
Je Uislamu unasemaje kuhusu walevi ?
 
Ni kweli ila cha kushangaza kuna WANAFIQ humu wanasema hao si Waislam na Hakuna Muislam Shoga🤣🤣🤣
Katika sheria ya dini ya uislam kuna mambo ukiyafanya umeshatoka nje ya uislam na SIO MUISLAM TENA yani UMEKUFURU.
Kama unataka urudi kuwa muislam uache hilo jambo na UTAMKE TENA SHAHADA na UTUBU.
Mathalan ushoga.
Ukishakua shoga wewe UMESHAKUFURU NA KUUACHA UISLAM.
Labda uache ushoga,utubu na UTAMKE TENA SHAHADA ndio utapokelewa tena kuwa muislam.
Sheria ya UISLAM ipo hivyo.
Kwahiyo HAO SIO WAISLAM NI MAKAFIRI.
 
Katika vitu ambavyo ulimwemgu wa dini hauwezi pambana nao ni MUDA. Muda ni jibu zuri kwa kila jambo chini ya jua.

Leo kumeshakuwa na mitume na manabii ndani ya uislam. Kumeshakuwa na uimbaji wa kaswida wa hovyo tena wanakata mauno kama miziki ya kidunia. Sasa kuna mafuta na maji ya upako misikitini.

Hata kama mnatumia nguvu nyingi kupambana na hivyo vitu ila muda ni jibu la mambo yote.

Tuombe uzima huku yetu yakiwa macho na masikio. Tutaona na kusikia zaidi ya hayo.
Umesema kweli.
Hiki ni kizazi tofauti sana na kile cha magaidi .
Magaidi wametajirisha wafu wengi waliojifanya wenye misimamo mikali . Baada ya kutajirika wanasomesha watoto wao kwenye shule za kidunia zaidi . Wanapata elimu dunia wanawaza changamoto za maisha kisayansi sio kidini.
 
Documentary ya "ALLAH LOVES EQUALITY" imetrend all over the World, sio tu Pakistan lakini zaidi katika nchi za Ulaya na Waislam wengi sana hasa viongozi walisupport hizi movements
 

Attachments

  • MV5BMjc5NjJlNzEtNWZmMi00ODU0LWFhNTMtMTYzMjdmZjI0MjE1XkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
    MV5BMjc5NjJlNzEtNWZmMi00ODU0LWFhNTMtMTYzMjdmZjI0MjE1XkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
    342.8 KB · Views: 3
  • images - 2024-11-01T190929.820.jpeg
    images - 2024-11-01T190929.820.jpeg
    48.8 KB · Views: 6
Kwenye uisilamu ili mtu awe classified kama shoga inabidi watu wanne wazima wenye akili zao timamu washuhudie hicho kitendo, mtu kuwa na tabia tabia za kike haimaanishi ni shoga, kumdhania vibaya mwanadamu mwenzako pia si tabia nzuri.
Hizo.ni blah blah na hadithi ila jiandaeni kwa anguko kubwa la maadili linalokuja. Tutaona mengi. Muda ni jawabu tosha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom