Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Katika vitu ambavyo ulimwemgu wa dini hauwezi pambana nao ni MUDA. Muda ni jibu zuri kwa kila jambo chini ya jua.Hao sio waislamu, ni kikundi cha wahuni ambao wanaeneza propaganda za ushoga kwa mgongo wa dini.
Leo kumeshakuwa na mitume na manabii ndani ya uislam. Kumeshakuwa na uimbaji wa kaswida wa hovyo tena wanakata mauno kama miziki ya kidunia. Sasa kuna mafuta na maji ya upako misikitini.
Hata kama mnatumia nguvu nyingi kupambana na hivyo vitu ila muda ni jibu la mambo yote.
Tuombe uzima huku yetu yakiwa macho na masikio. Tutaona na kusikia zaidi ya hayo.