Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Hiyo ni jamii ya Waislamu siyo ya kiislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Waislamu wa kike wa Mwananyamala hawafuniki nywele zao? Au nao unawakana?waislamu wakike wanajifunika nywele, pichani hawajafanya hivo
ni wazi kuwa hao sio waislamu
HAYA NI MABWABWA KAMA UNAVYOWAONA AKINA.......Hovyo sana.Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.
Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano.
View attachment 3140563
View attachment 3140946
Vipi kuhusu walevi, wanafiki, wezi, wazinifu, wuaji manake hao wamejaa kila sehemu na wengine ni masheikh wakubwa na maharufu. Je nao si Waislamu?Katika sheria ya dini ya uislam kuna mambo ukiyafanya umeshatoka nje ya uislam na SIO MUISLAM TENA yani UMEKUFURU.
Kama unataka urudi kuwa muislam uache hilo jambo na UTAMKE TENA SHAHADA na UTUBU.
Mathalan ushoga.
Ukishakua shoga wewe UMESHAKUFURU NA KUUACHA UISLAM.
Labda uache ushoga,utubu na UTAMKE TENA SHAHADA ndio utapokelewa tena kuwa muislam.
Sheria ya UISLAM ipo hivyo.
Kwahiyo HAO SIO WAISLAM NI MAKAFIRI.
Kwa hiyo kila mtu aliwahi UK chakula kimem badilisha jinsia?Vyakula vya UK sio poa
Vinafanya mabadiliko fasta
Acha waolewe tu
Kwa hio inaonekana inawauma sana kuona waisilamu bado wanafuata maadili? Si kwa povu hili.Hizo.ni blah blah na hadithi ila jiandaeni kwa anguko kubwa la maadili linalokuja. Tutaona mengi. Muda ni jawabu tosha.
Wasivyopenda kukubari Ukweli...!Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.
Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano.
View attachment 3140563
View attachment 3140946
Mlevi ni kosa la kawaida la kuomba toba ukasamehewa.Vipi kuhusu walevi, wanafiki, wezi, wazinifu, wuaji manake hao wamejaa kila sehemu na wengine ni masheikh wakubwa na maharufu. Je nao si Waislamu?
Mbona Ayatolah anawaendea Maayatola wenzie.Uislam ambao umemtaka mwanamke kujistiri,wanaume wawe rijali kwa maana wawaendee wanawake na sio kuwaendea wanaume wenzao au wanawake tofouti na maumbile yao..hicho kitakua kikundi kama vikundi vingine vya hovyo vya kudhalilisha uislam
Kuna Jamaa yangu aliwahi kutembea na Mwanamke aliyeachwa na Mwarabu anasema alikuwa anavuja 😆😁Lakini huo uchafu, hasa dhidi ya wanawake, ni kawaida sana kwa waarabu. Ndiyo maana hata huku East Afrika, unakuta hizo tabia ni common sana kwa jamii za pwani, ambako ndiko hasa waarabu waliishi sana.
Hapo umeongea pointVyakula vya UK sio poa
Vinafanya mabadiliko fasta
Acha waolewe tu
Allah hajawalinda na Ushoga?!Hapo umeongea point
Mbona magomeni,pemb,unguja,tanga nk. Hamhwapigi mawe mana maeneo hayo mashoja yamejaa mitaani.Hao si waislam, ni kikundi kidogo cha wahuni tu ambao wamejikusanya na kufanya huu upuuzi hapo,,
Kwani uislamu unasemaji juu ya mashoga,?
MFANYAJI NA MFANYWAJI WOTE WAPIGWE MAWE HADI KUFA, sasa kama ndio ipo hivyo hao wahuni wanatoka wapi na wanatumia kigezo gani,,,
Hata kwa picha tu unaona kabisa kuwa ni uongo huo unatengenezwa na kupewa nguvu na media
Uislamu unazidi kupoteza nguvu,vimebaki vikundi vichache vya kigaidi na magaidi kila siku magaidi yanauwawa.Uislamu haifuati mtu qnavyotaka,ina sheria zake na kanunui zake.Ukienda kinyume na kanuni zake,na sheria zake,automatiki umeshavukiwa katika uislamu.
Nchi yenyewe ushoga nje nje ,waache kuhusisha ushoga wao na uislamuKwani hao wanaoandamana wamelazimishwa?