Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.
Hao sio waislamu, ni kikundi cha wahuni ambao wanaeneza propaganda za ushoga kwa mgongo wa dini.
Katika vitu ambavyo ulimwemgu wa dini hauwezi pambana nao ni MUDA. Muda ni jibu zuri kwa kila jambo chini ya jua.

Leo kumeshakuwa na mitume na manabii ndani ya uislam. Kumeshakuwa na uimbaji wa kaswida wa hovyo tena wanakata mauno kama miziki ya kidunia. Sasa kuna mafuta na maji ya upako misikitini.

Hata kama mnatumia nguvu nyingi kupambana na hivyo vitu ila muda ni jibu la mambo yote.

Tuombe uzima huku yetu yakiwa macho na masikio. Tutaona na kusikia zaidi ya hayo.
 
Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.

Pichani ni waislamu wa uk wakifuragia mwenendo wa maandamano.
View attachment 3140563
Uislamu haifuati mtu qnavyotaka,ina sheria zake na kanunui zake.Ukienda kinyume na kanuni zake,na sheria zake,automatiki umeshavukiwa katika uislamu.
 
si mlisema wazungu wanajiunga na uislam mkafuhia wakiachana na ukristo, inakuaje wanaufanyia hujuma uislam?
 
tatizo waislam ni wabishi hawajui nyakati, ukiwaambia hata dini yao itaathiriwa na nyakati wao husema uislam hautabadilika
 
Mtu anaweza kujiita muisilamu ila haimaanishi ni muisilamu,

Unafikiri unaweza ukaandamana na mashoga halafu ukaenda mskitini? Utakula mbata za kutosha tu ukikaribia huo msikiti.

Hao wote unaowaona hapo sio waisilamu kisheria.
sio waislam, ni kina nani? Mlisema uislam hauchezewi, hao wanaochezea wametoka wapi, bakora fatwaa ziko wapi muwashughulikie? Hao wa ulaya hamtaweza kuwashughulikia, mtaweza kushughulikia waswahili wenzenu
 
sio waislam, ni kina nani? Mlisema uislam hauchezewi, hao wanaochezea wametoka wapi, bakora fatwaa ziko wapi muwashughulikie? Hao wa ulaya hamtaweza kuwashughulikia, mtaweza kushughulikia waswahili wenzenu
Hayo mambo hayajaanza jana wala leo, miaka na miaka yapo, mengi ya hayo makundi yameanzishwa na Uingereza wakati wanatawala India, yamefanya nini kwenye uisilamu? Nothing.

Na ndio usilamu hauchezewi hatuongei maneno matupu tunaongea kwa evidence, ndio maana hata viongozi wao wanakimbia mijadala yoyote ya kidini sababu hawana hoja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…