Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

Mkuu hapa umegusa pabaya! hilo si tatizo la Wakurya kama kabila. Emotional intelligence ni uwezo wa mtu kuelewa, kudhibiti, na kuelekeza hisia zake pamoja na kuelewa hisia za wengine. Hii ni tabia ya mtu binafsi, si ya kabila zima.

Mtu anaweza kuwa Mkuriya na bado akawa na kiwango kikubwa cha emotional intelligence, kama ilivyo kwa mtu wa kabila lingine lolote. Tofauti za tabia zinatokana na malezi, mazingira, elimu, na uzoefu wa maisha — si kabila. Hivyo si sahihi kusema Wakurya wana tatizo hilo.
We mwenyewe ulivyoleta hii mada tayari una Hilo Tatizo je na wewe ni mkurya?
 
Okay.
 
Sikwel..Wakurya hawapigani hovyo hovyo kama wendawazimu ,ulishawahi kusikia wanapigana mikoani kama Dar?

Kule kwao kuna vita ya vizazi na vizazi na jamii za karibu yao ...Wanafanya vile ili kupambana na mazingira ,wakurya ni very adaptive ndio maana mikoani hauwezi kukuta wakifanya matukio ya hovyo , wasukumu ndio hawabadilikii.
 
Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.

Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Ni jamii flani ya watu wa ajabu ajabu sana! Wanamchukulia mwanamke kama kitenesi, kwamba unaweza kumdundadunda na hata ikibidi kumchanachana na sime ama viwembe kisa tu kachelewa kumpa togwa.
 
Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.

Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Kabla ya kujadili wakurya, tujue kwanza wewe kabila gani???
 
Hilo kabila la mambwa majitu yanakeketana na kuuana..!!
Inahitajika elimu kubwa kwa hiyo jamii.!!
 
Back
Top Bottom