Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

Hilo la kabila la mambwa hata salamu zenu siitikii..!!
Hata siku moja sijawahi kuwa interested na nyie takataka 😹
Umepigwa pum.bu sana na wakurya wewe,nakujua vizuri.
Unajikuta nani wewe hadi tukusalimie?
 
Umepigwa pum.bu sana na wakurya wewe,nakujua vizuri.
Unajikuta nani wewe hadi tukusalimie?
Acha kujipa matumaini na kabila la mambwa, hata tubaki duniani peke yetu na hao vichaa bora nijiue. Siwezi kuishi na jamii ya watu wa hovyo..!!

Pole km umeumia kunywa maji mengi upone..!!
 
Aisee nimefanya kazi na hawa wanaume wa kikurya kwa nyakati tofauti tofauti ,binafsi sijawahi kuona wana piga wala kutukana hovyo au kufanya fujo bila sababu ya msingi, ni watu wako straight sana, sio wavivu, hawana woga, wana misimamo halafu sio watu wa kukata tamaa, na wamezaliwa na kukulia huko Mara lakini wamenyooka sana wakurya labda uanze wewe kuwaletea ujinga hapo ndo utaowaona wabaya kwa sababu sio watu wanaovumilia disrespect.
Sijui kwa experience za wengine ila mimi katika wakurya wote niliowahi kukutana nao na tukafanya kazi pamoja waliacha impression nzuri sana kwangu.
Ukimuita mtu pwani "mngese" atacheka na kujiondokea. Ukimuita Mkurya vivyo hivyo kwanza analitafsiri hilo tusi kisha anakukunja😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom