Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Kuna nini tena huko?Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.
Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Okay.Mkuu hapa umegusa pabaya! hilo si tatizo la Wakurya kama kabila. Emotional intelligence ni uwezo wa mtu kuelewa, kudhibiti, na kuelekeza hisia zake pamoja na kuelewa hisia za wengine. Hii ni tabia ya mtu binafsi, si ya kabila zima.
Mtu anaweza kuwa Mkuriya na bado akawa na kiwango kikubwa cha emotional intelligence, kama ilivyo kwa mtu wa kabila lingine lolote. Tofauti za tabia zinatokana na malezi, mazingira, elimu, na uzoefu wa maisha — si kabila. Hivyo si sahihi kusema Wakurya wana tatizo hilo.
We mwenyewe ulivyoleta hii mada tayari una Hilo Tatizo je na wewe ni mkurya?
OkayNgariba haogopi mkojo...🤣
Na Hii Ndio Suluhisho La Uhakika....Kubadili mtazamo wa jamii ni jambo la polepole sana.
Kadri wanavyochangamana na jamii zingine uendelea kubadilika
Ni jamii flani ya watu wa ajabu ajabu sana! Wanamchukulia mwanamke kama kitenesi, kwamba unaweza kumdundadunda na hata ikibidi kumchanachana na sime ama viwembe kisa tu kachelewa kumpa togwa.Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.
Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
NI NGUMU SANA KUMKUTA MKURYA MSTAARAB.Elimu,dini,na police kanda maalumu vimewalazimisha kustaaribika kidogo
Kabla ya kujadili wakurya, tujue kwanza wewe kabila gani???Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.
Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Ila kuna andiko humu nilisoma kuwa kuna wakina Anko T na James delicious wa kotosha huko! Na hata mimi nilishangaaWagogo unawajua?