Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

Katinya wakurya na mtoa mada inaonekana mtoa mada ndo wa kusaidiwa kiakili

No research NO RIGHT to say
 
Kuna kitu kimoja kimenishangaza sana kuna jamaa fulani watatu nilisoma nao ni Wakurya wako powa sana na ni watu friendly sana tofauti na ninavyosikia kwenye vyombo vya habari matukio yao
 
wew majuzi tu hapa wamenyukana kinoma, walianzia ndani na mlango walifunga kwa ndan. baadae wakahamia nje washavuana mashati
 
Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.

Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Umefika Geita? Wakurya wanahukukiwa kwa historia yao, nakupa kazi kuanzia leo anza kuchunguza mienendo ya jamii za watu wa Geita baada ya mwezi mmoja utakuwa umepata jibu sahihi.
2. Soma rejea kutoka NBS inaitwa Crime and Traffic Incidents Statistics Reports 2024. Utaona mikoa katikili kuliko hao Wakurya wa Mara.
 
Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.

Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Inategemea wakurya wa wapi sio wakurya wote wako hivyo, nimeishi sana mkoa wa Mara sehemu inaitwa Kiagata jamaa wako peace sana

Wakurya malimbukeni Hoya Hoya yapo huko Tarime, Rorya, Serengeti nk
 
Kuna kitu kimoja kimenishangaza sana kuna jamaa fulani watatu nilisoma nao ni Wakurya wako powa sana na ni watu friendly sana tofauti na ninavyosikia kwenye vyombo vya habari matukio yao
Wakurya mpaka uwachokoze ,utawaona wanacheka cheka ila ukiwachokoza ni wakali sana ..
 
Aisee nimefanya kazi na hawa wanaume wa kikurya kwa nyakati tofauti tofauti ,binafsi sijawahi kuona wana piga wala kutukana hovyo au kufanya fujo bila sababu ya msingi, ni watu wako straight sana, sio wavivu, hawana woga, wana misimamo halafu sio watu wa kukata tamaa, na wamezaliwa na kukulia huko Mara lakini wamenyooka sana wakurya labda uanze wewe kuwaletea ujinga hapo ndo utaowaona wabaya kwa sababu sio watu wanaovumilia disrespect.
Sijui kwa experience za wengine ila mimi katika wakurya wote niliowahi kukutana nao na tukafanya kazi pamoja waliacha impression nzuri sana kwangu.
 
Wanauana kwa Sababu hivi unawajua karamajong hawa wanakufyeka bila kuuliza wamevurugwa haswa
 
Wanaume wa kikurya na wasukuma wa tabora na shinyanga wamerithishwa mifumo dume.
 
Wakurya wanavyozungumzia na walivyo ni tofauti sana zamani mimi pia nilikua na mtazamo kama wako mtoa mada lakini nimegundua kumbe hawa watu wako vizuri sana

Wameelimika sana now days, ni wakalimu , ni wakali ukiwachokozq wanakusurubu haswa na wala sio wakatili kama mlivyokuwa mkitudanganya
 
Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.

Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Wakurya ni watu wazuri sana..ukienda ukuryani uache ushamba na ujinga ufuatao
1. Kutembea na mke watu.
2. Kutembea na binti wa mtu.
3. Kujitembeza na binti wa mtu hadharani kwa kujiita wachumba kabla hujamuo (kupeleka mahari si kigezo)
4. Kuleta uchawi wako wa huko kwenu
5. Kudharau wakurya na kujiona we ni mjuaji.
6. Kumuonea mkurya (hapa kaburi na wewe ni kidole na pete)
7. Kudharau tamaduni za wenyeji.
8. Uchawa wa kuwachoma kwa viongozi
9. Kuiba ng'ombe/mali ya mkurya
10. Kumuibia mkurya.

Ukiyaepuka hayo, hautatamani kurudi kwenu.

EMOTIONAL INTELLIGENCY PELEKA HUKO KWA WAMAMA WA PWANI NA MIKOA MENGINE UPATE MALIPO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…