[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishakutana nayo kwa mamarwakatare mm
Kyna kama unataka safari ya kw3nda ulaya pia,unakaa mkao wa boeing kurukaaa [emoji1] ipo nayo
Kakobe naye ana mambo yake pia
Ova
Inasikitisha hakikaNafkiri tunasubiri kushuhudia kwa mara ya kwanza Tanzania πΉπΏ
Huhitaji miujiza kuiona Pepo isipokuwa kwa matendo mema ππͺKabisaa Baki na Imani Yako hyo huku Kwa manabii ni sanaa tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]duh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hilo ulilochagua ndilo mtume Yakobo analiita DINI ILIYO SAFI NA ISIYO NA DOA MBELE ZA MUNGU. Hawa matapeli wanaojificha kwenye kichaka Cha dini naiomba serikali iwachukulie hatua stahiki.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]duh
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watu wanaofuata mambo hayo Wana tatizo la AFYA YA AKILI. Mtu mwenye akili timamu huwezi kuwasikiliza hao matapeliMy sista mpk namuonea huruma aseeh
Kwa kupenda hao wenye miujiza alitoka Kwa suguye,mwamposa,baadae kuhani Mussa mara sijui lusekelo yaani wote kawamaliza but still Yuko vile vile
Juzi ananiambia hivi ujue wapo manabii wanafufua watu[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikaitikia tu maaana namheshimu and I love her huwa sitamani kumkwaza even a bit
Tv yake ikifka saa tatu usiku mwamposa,mchana suguye
Yaani 24/7 ni hao hao tu
Nikiwa kwake namuambia bestie naomba niyaangalie ya Dunia kidogo,[emoji2][emoji2][emoji3526]
Sasa siku Moja kaniambia Kuna mchungaji anataka aende huyo unatoa laki sita za kibongo anakuosha anatoa nuksi ,mikosi n.k,anatafuta pesa aende hukooo akaoshwe nikaitikia tu nkasema okay mradi mambo Yako yaende ila moyoni Sasa nasema daahhh hii shidaa hii
Honestly natamani wakristo wabaki na madhehebu Yao ya asili makuu Yale Yale ,RC,Lutheran,Anglican , Adventist na Pentecostal baasi kungine ni usanii mtupu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mwanamke jaribu kuandika kwa ustaha. Hiki ulichoandika ni unyanyasaji mkubwa juu ya jinsia ya kike.Mwamposa mmhhh...
Naogopa miye ila mmhhh ....vipo....chi...manyo....anaviraaa......ruraaaaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siku hizi makanisa karibu yote ni pesa tu na kuhubiri ukuu wa shetani. Fungulia redio zao usiku usikie viroja vyao vya kumkemea shetani na malaika zake. Yaani jina la Yesu linatajwa usiku kucha kukemea pepo as if likitajwa mara Moja haitoshi. Yaani imani yetu ya kikristo imegeuka upumbavu na kichekesho kabisa.Sio makanisa yote yanafanya mazingaombwe kuna ya UKWELI ndiyo maana yakaja na yamazingaombwe
T ndiyo yuko nao Bega kwa begaHapo ndipo hatari kubwa inapokuja. If they will succeed to infect the Authorities itakuwa balaa kubwa sana. Dada Tulia Nina Imani kubwa na wewe. Be on your watch kukemea infiltration ya kishetani kupitia muhimili tuliokukabidhi uusimamie.
Video iko wapi sasa?πππ at first nilijua ni magari ukweli kumbe walikua wanaigiza πππ