Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Nishakutana nayo kwa mamarwakatare mm
Kyna kama unataka safari ya kw3nda ulaya pia,unakaa mkao wa boeing kurukaaa [emoji1] ipo nayo
Kakobe naye ana mambo yake pia

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
My sista mpk namuonea huruma aseeh
Kwa kupenda hao wenye miujiza alitoka Kwa suguye,mwamposa,baadae kuhani Mussa mara sijui lusekelo yaani wote kawamaliza but still Yuko vile vile
Juzi ananiambia hivi ujue wapo manabii wanafufua watu[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikaitikia tu maaana namheshimu and I love her huwa sitamani kumkwaza even a bit
Tv yake ikifka saa tatu usiku mwamposa,mchana suguye
Yaani 24/7 ni hao hao tu
Nikiwa kwake namuambia bestie naomba niyaangalie ya Dunia kidogo,[emoji2][emoji2][emoji3526]
Sasa siku Moja kaniambia Kuna mchungaji anataka aende huyo unatoa laki sita za kibongo anakuosha anatoa nuksi ,mikosi n.k,anatafuta pesa aende hukooo akaoshwe nikaitikia tu nkasema okay mradi mambo Yako yaende ila moyoni Sasa nasema daahhh hii shidaa hii

Honestly natamani wakristo wabaki na madhehebu Yao ya asili makuu Yale Yale ,RC,Lutheran,Anglican , Adventist na Pentecostal baasi kungine ni usanii mtupu


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watu wanaofuata mambo hayo Wana tatizo la AFYA YA AKILI. Mtu mwenye akili timamu huwezi kuwasikiliza hao matapeli
 
Sio makanisa yote yanafanya mazingaombwe kuna ya UKWELI ndiyo maana yakaja na yamazingaombwe
Siku hizi makanisa karibu yote ni pesa tu na kuhubiri ukuu wa shetani. Fungulia redio zao usiku usikie viroja vyao vya kumkemea shetani na malaika zake. Yaani jina la Yesu linatajwa usiku kucha kukemea pepo as if likitajwa mara Moja haitoshi. Yaani imani yetu ya kikristo imegeuka upumbavu na kichekesho kabisa.
 
Hapo ndipo hatari kubwa inapokuja. If they will succeed to infect the Authorities itakuwa balaa kubwa sana. Dada Tulia Nina Imani kubwa na wewe. Be on your watch kukemea infiltration ya kishetani kupitia muhimili tuliokukabidhi uusimamie.
T ndiyo yuko nao Bega kwa bega

Ova
 
Back
Top Bottom