My sista mpk namuonea huruma aseeh
Kwa kupenda hao wenye miujiza alitoka Kwa suguye,mwamposa,baadae kuhani Mussa mara sijui lusekelo yaani wote kawamaliza but still Yuko vile vile
Juzi ananiambia hivi ujue wapo manabii wanafufua watu[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikaitikia tu maaana namheshimu and I love her huwa sitamani kumkwaza even a bit
Tv yake ikifka saa tatu usiku mwamposa,mchana suguye
Yaani 24/7 ni hao hao tu
Nikiwa kwake namuambia bestie naomba niyaangalie ya Dunia kidogo,[emoji2][emoji2][emoji3526]
Sasa siku Moja kaniambia Kuna mchungaji anataka aende huyo unatoa laki sita za kibongo anakuosha anatoa nuksi ,mikosi n.k,anatafuta pesa aende hukooo akaoshwe nikaitikia tu nkasema okay mradi mambo Yako yaende ila moyoni Sasa nasema daahhh hii shidaa hii
Honestly natamani wakristo wabaki na madhehebu Yao ya asili makuu Yale Yale ,RC,Lutheran,Anglican , Adventist na Pentecostal baasi kungine ni usanii mtupu
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app