Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

udi nyumbani.

Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.

Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Duh: kuna hawa wanaojiita wakarisimatic ndani ya kanisa letu Katoliki.kuna siku nimeenda parokiani kuonana na paroko.Baba paroko akanitonya nimsubirie kidogo kama nusu saa hivi maana alikua na issue anamalizia.

Basi nikao kwa muda ule niingie kanisani maana kulikua kumechangamka kwa kelele za hapa na pale.kuingia ndani nikakuta hao wakarisimatic wanafanya yao.nikaketi benchi la nyuma kabisa kuona kinachofanyika.ghafla akaja mmoja wao na kunihoji kwa nini nimekaa ili hali wao wanapepetana na shetani na pia nitoke pale niende mbele.nikamwambia aisee hebu niache ww kaendelee na mambo yenu.kilichofuatia alienda kuita mwenzake ambapo waliniambia nitoke nje haraka..hapo ikawa ndio mbwai sasa maana nilichowajibu ni kwamba hili kanisa amejenga nani mpaka mniambie nitoke nje?

Wakasisitiza nitoke hapo ndio ikawa tafrani mpaka baba paroko akaenda kuitwa kuamulia kimuhemuhe kile.alipokuja nilimuuliza swali lile lile ya kwamba ni nani amejenga hili kanisa.Paroko kwa ueledi wake akajibu kanisa hili limejengwa na waumini na sio mali ya mtu binafsi.Hapo wale wakulungwa wakaishiwa pozi wakaamriwa watoke nje kwa maana wanaleta fujo...Binafsi hawa watu wenye vinasaba vya miujiza nawachukkulia kama wagonjwa wa akili.
 
Kwa sisi wahenga kuna usemi wa zamani kwamba hata ukishinda unayaua majinga kamwe hayatakaa yaishe kwakuwa ndio hali halisi hiyo , kimsingi hayo mapumbafu yaendelee kupigwa tu na mwishowe yafe na njaa kama yale ya kenya ila majamaa yaendelee kuendesha vogue na familia zao. MIAFRIKA MIJINGA SANA.
 
Hivi unafikiri wanaosema waafrika ni wajinga unadhani ni utani.Vichwa vyetu sio vizima kabisa.Ujinga tunaoufanya uku afrika ni mkubwa zaidi kuliko unaofanyika uko walikotuletea hizi dini.Kwa mfano angalia hili jambo la mapenzi ya jinsia moja,nakuhakikishia japokua kwasasa linaonekana ni jambo dogo na liko chini chini ila kwa vichwa vyetu baada ya miaka 10 litakua kubwa sana uku kwetu kuliko uko liliko toka.Dini zilianza hivi hivi polepole ila sasa hivi kuna wanaojifanya niwadogo zake na yesu kabisa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.[emoji23]

View attachment 2602028
[emoji1][emoji1] kweli kuna wapumbavu bado duniani
Sasa viboko hivyo vinasaidia nini na kumuabudu Mungu au wao wanamuabudu huyo mchungaji

Ila kweli huwa nashangaa sana nikiona mambo kama haya yanatokea kwa mfano yule aliwalisha majani waumini wake
Na yule aliwaambia wanawake wavue nguo ya ndani tena mbele ya watoto zao na wengine waume zao kabisa
 
Wewe jamaa una shida
Yaani matatizo ya mafasirayo na wachungaji wa kikristo umejumuisha waafrika wote maana yake nini?
Waafrika wote tunakwepaje hizi lawama.Uharibifu wa jamii unaanza kidogo kidogo.Inawezekana ukaona haikuhusu ila madhara yake yatakugusa kwa namna moja au nyingine.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.

Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.

Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.

Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?

Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.

Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.

Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.

Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.

Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.

Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali
muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Aahahaaaaa

Nicheke kwanza
 
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.

Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine amekuwa akiwaona hao wafu wanamuandalia party ya kula nyama mbichi za watu.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu hili kanisa waliambiwa na kiongozi wao kila mtu aendeshe gari lake, atoe mlio wa gari, aweke gia na kupiga honi za mdogo. Elekea kulia, kushoto, mbele, nyuma, kisha nenda nje ya kanisa ukapaki gari yako.

Wakati watu wakiwa busy na ujinga ule, mimi nilikuwa nimekaa kimya nawacheka tu kimoyomoyo.

Mchungaji naye alikuwa busy akizunguka huku na huko akiwagusa watu wake vichwani na kuwaambia gari lako na likadhihirike kwenye ulimwengu wa nyama.

Akiwa kwenye kuzunguka kwake ndipo akanikuta nimekaa sifanyi utaahira ule. Akaniuliza kwanini naleta roho za upinzani kanisani kwake?

Nikamjibu sileti roho ya upinzani, ila siamini kwenye mazingaombwe. Ndipo akawaita walinzi wake, yeye anawaita protocol wanitoe ndani na nisirudi tena mle ndani.

Nikamsikia akiongea kutoka kwenye maspika kuwa shetani amejidhirisha kanisani ili kuzuia muujiza wa watu kupokea magari.

Basi akaambiwa waanze kukemea roho zote za upinzani ambazo zinasababisha wao wasipokee magari yao.

Jamaa zangu nilipotolewa nje nao wakatoka tukarudi nyumbani.

Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.

Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.

Waliokua wanaendesha wanafananaje🤣🤣🤣 nimechoka kama mazuri
 
Back
Top Bottom