Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Duh: kuna hawa wanaojiita wakarisimatic ndani ya kanisa letu Katoliki.kuna siku nimeenda parokiani kuonana na paroko.Baba paroko akanitonya nimsubirie kidogo kama nusu saa hivi maana alikua na issue anamalizia.Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.
udi nyumbani.
Ndugu zangu watanzania magari hayapatikani hivyo. Utalitolea sadaka na kulipandia sana mbeg u gari lako, hadi ukome.
Waza nje ya boksi, kuwa mbunifu kwenye shughuli zako, boresha huduma zako, jali muda, uwe na matumizi mazuri ya fedha. Nidhamu ya fedha ndiyo itakayokuletea mabadiliko ya tabia zako.
Basi nikao kwa muda ule niingie kanisani maana kulikua kumechangamka kwa kelele za hapa na pale.kuingia ndani nikakuta hao wakarisimatic wanafanya yao.nikaketi benchi la nyuma kabisa kuona kinachofanyika.ghafla akaja mmoja wao na kunihoji kwa nini nimekaa ili hali wao wanapepetana na shetani na pia nitoke pale niende mbele.nikamwambia aisee hebu niache ww kaendelee na mambo yenu.kilichofuatia alienda kuita mwenzake ambapo waliniambia nitoke nje haraka..hapo ikawa ndio mbwai sasa maana nilichowajibu ni kwamba hili kanisa amejenga nani mpaka mniambie nitoke nje?
Wakasisitiza nitoke hapo ndio ikawa tafrani mpaka baba paroko akaenda kuitwa kuamulia kimuhemuhe kile.alipokuja nilimuuliza swali lile lile ya kwamba ni nani amejenga hili kanisa.Paroko kwa ueledi wake akajibu kanisa hili limejengwa na waumini na sio mali ya mtu binafsi.Hapo wale wakulungwa wakaishiwa pozi wakaamriwa watoke nje kwa maana wanaleta fujo...Binafsi hawa watu wenye vinasaba vya miujiza nawachukkulia kama wagonjwa wa akili.