Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi

Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama

Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
Huko sawa kabisa, mama kazungukwa na washahuri weupe kichwani wasio na uwezo wa kujenga hoja kutetea chama. Wanachojuwa wao ni chuki na mabavu dhidi ya wapinzani wao. Wenye akili wanawaona, kinga yao iliyopo wabaki madarakani ni mabavu ya vyombo vya dola kwasababu kwenye sanduku la kura wanajijuwa hawatakiwi.
 
CHADEMA mnautamani huu msiba kiasi cha kuuhusianisha na ustaarabu na maendeleo!
 
CHADEMA mnautamani huu msiba kiasi cha kuusianisha na ustaarabu na maendeleo!
CCM chama changu kinaelekea kubaya, wanatafuta credit kwenye misiba, maafa na majanga. Nilidhani itaishia kwenye tukio la Hanan'g, kumbe wameichukuwa kama mila. Na Mungu hataniwi, wataondoka wengi ili wapate kuomboleza vizuri
 
Moyo wa Lowasa haujawahi kiwa CHADEMA hata siku moja. Aliwanunua ili atimize ndoto yake ya kugombea urais basi, biashara ilipoisha akarudi nyumbani.
lo+1.jpg

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu umbwa wewe
 
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi

Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama

Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
Hauna historia ya Malasusa vinginevyo usingehoji, ni CCM namba moja na huenda yupo kulidhoofisha kanisa.
 
Waache "WAFU" wazike "WAFU" wao....
 
The tone, rhythm and writing flow of your article tell everything about your belonging block 🐒

Acha kubeba watu ufala 🐒

Ilifahamika tangu mapema viongozi wa chama unachokitaja watakua kwenye shughuli yao muhimu zaidi ya maandamano meaning kwamba msiba wa Laigwanan comrade ENL ni useless 🐒

All over a suddenly anaibuka tena ibadani Azania front juzi, na leo tena mazishini, sasa sijui maandamano nayo yamekua ni useless 🐒

Chagua moja 🐒
Tulimshauri mapema akashupaza shingo.

Yote na yote Mungu mwema shughuli ya mazishi inakwendra vizur...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi

Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama

Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
Kwenye ratiba CCM wapo.?
 
Hivi mnafikiri huyo Malasusa na Gwajima na yule Joshua aliyefariki wana tofauti? Wote ni matapeli. Halfu kwa taarifa yako hakuna kanisa lenye viongozi wenye makandokando kama hilo la KKKT. Maaskofu wake wengi wana asili ya utapeli hivi.
Usituchafulie KKKT please. Tofautisha Tania za MTU Binafsi na kundi.
 
Mkuu ni wengi wana wasiwasi.
 
Ni aibu sana katika historia ya Hayati Lowassa kuacha jambo kubwa la kugombea Urais kupitia CHADEMA na kupata mamilioni ya kura za Watanzania.
 
Kupitia hili la lowasa na kikwete

nimejifunza kutokumuamini mtu yeyote,muamini mtu nusu ila sio saana

Muamini mtu ila uwe na Plan B
 
Lowasa na Kikwete ulikua mchezo wa kisiasa ambaye hakujua ni Lowasa kwa sababu Kikwete angefanyaje ili Lowasa awe Rais? Awe kama Mbowe mwenye kauli ya mwisho?
 
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi

Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama

Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
Usijali. Iko hivi, ukigoma kustaarabika, utastaarabishwa. Hiyo ndiyo kanuni
 
he who pays the piper, chooses the song, mazishi ya marehemu yamegharamiwa na ccm na siyo chadema …
 
Yani mtu anaamua kuwatusi Waafrika kwa sababu za nyodo na lia lia za CHADEMA? C'mon CHADEMA sio waafrika?

Hivi in all honesty nani aliye CCM au Serikalini ambaye ametoka hadharani na kudai Mwendazake Laigwanan E.N.Lowassa hajawahi kuwa CHADEMA?

Separation of Church and State haituhusu waafrika, otherwise kudai tu CHADEMA, a political party watajwe kwenye msiba sijui ndio tutaita ni nini? Halafu unadai hakuna Ustaarabu, ustaarabu gani huo?

CHADEMA wanashangaza sana.

..kuna uoga kwamba hotuba ya Cdm itafunika hotuba za viongozi wa Ccm.

..uwezo wa Maza ktk siasa na majukwaani ni mdogo kwa hiyo inabidi alindwe kwa kuwanyima nafasi wenye uwezo zaidi yake.
 
..kama mngepewa nafasi nashauri apewe Mbowe. Akipewa Lissu atatukana na kuchafua hali ya hewa msibani.
Any way nakumbuka mlimwita fisadi miaka Ile pale Mwembe yanga

..Lissu ana uwezo wa kuhutubia hadhara yoyote ile.

..kama huamini anaweza kutoa hotuba inayogusa ktk msiba tafuta hotuba alizotoa ktk msiba wa Samuel Sitta, na msiba wa Askofu Kweka.

..Na hotuba nyingi za Lissu huwa zina rejea za kihistoria na huelimisha kwa namna fulani.
 
Back
Top Bottom