Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,238
- 8,194
Wakuu, kwema humu?
Zimepita siku kumi tangu nilipowaaga kwamba naenda "kugawa chakula" katika maeneo mengine ya dunia. Mimi nilifikiri akiba ya chakula niliyoiacha humu inatosha kuwafanya watu wanywe na kula hata kwa mwaka mzima. Leo nikasema ngoja nirudi nichungulie nyumbani kukoje? Duh, inasikitisha. Nimeona watu wamedhoofu sana. Sielewi imekuwaje; yamkini mwizi amekuja na kuiba chakula chote.
Hakuna shida, nimewaletea chakula cha kutosha. Kaeni sasa mkao wa kula na kunywa vinono nilivyowaandalia!
==============
Are you ready to feast, to drink, and to delight in the abundance you so deeply deserve?
Swali hilo nawauliza nyinyi mlionipa mkono wa kwaheri: Nomadix Zamaulid Munch wa annabelletz47 Saint Anne Evelyn Salt pet96 Samson Ernest Oscar Lyrics Manyanza wa stendi Elisha Monetary doctor leo dada dudus Kimwakaleli Bush Dokta HOLY BLINDFOLD Cherecheche Mwachiluwi Mzee Kigogo Lastmost Retired Arizona 1 njinjo stow away Donnie Charlie Mshana Jr Daudi 1 Joanah yassird200 secretarybird Rebeca 83 Saad30 Marco Seth nakwede97 Maikoel Manfried TheChoji Kingfisher Shadow7 Beira Boy 66KV ndege JOHN Thecoder Mindray Carasco Putin Kusini pride Poppy Hatonn aliekatakamba humutuu Nyamwi255 a sinner saved by Christ Jics Tumwesige senior Mvinyo mpya MFALME WETU Kalpana Mowwo Msumb Nilufer Poor Brain SweetyCandy ras jeff kapita Fundi mahiri wa ujenzi Nikilewa mniache mbwangali Dume Jembe Chinchiler Tate Mkuu Telewolth bin champion steveachi nakwede97 Smart911 wolverineGG ministrant Kijana Masikini maiko sultan Meneja Wa Makampuni 1gb
Bila kumsahau felakuti
Last but not least: EvilSpirit - comment yako ilinifanya nibubujikwe na machozi ya huzuni. Kama hukumbuki, ulisema hivi: "Da nimelia sana, waislamu wengi wameokoka humu JF kupitia wewe, sasa unavyoondoka humu kutageuka msikiti na kuwa sehemu ya kutamba kina kobazi wakiongozwa na kobazi jenerali Covax "
Nimerudi mkuu, futa machozi, jiandae kucheka kicheko kikuu😀