Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Inasikitisha sana mkuu 😭Daah kwahiyo me mbaya wakati nilikushauri njia nzuri kiongozi 😂 😂 😂
Inasikitisha sana mkuu 😭Daah kwahiyo me mbaya wakati nilikushauri njia nzuri kiongozi 😂 😂 😂
Wenzako waliopokea kombe waulize. Wanafurahi sio kwa sababu ya kombe. Ni kwa sababu watapata dola kibao za kununua wali na kuku. Wewe unacheka tu wakati pesa yako ambayo ungenunulia maziwa ya watoto imeliwa. Kazi kwelikweli. Afadhali ungefurahi kwamba jina lako limeandikwa katika kitabu cha uzima, maana mambo yote ya dunia hii yatapita.Kwani nilazima ulipwe furaha tu inatutosha.....kwani we hamna kitu unachokipenda kinakupa furaha bila kukuingizia hela
Ukiutafuta kwanza ufalme wa Mungu na haki yake yote, hata mapesa unapata. Soma muujiza wangu huu.Ww wokovu umekupa sh ngap
Daah we unapenda kukuza mambo halafu hiyo roho ya kichawi kwamba wao wakipewa dola me niumie hapana kwa kweliWenzako waliopokea kombe waulize. Wanafurahi sio kwa sababu ya kombe. Ni kwa sababu watapata dola kibao za kununua wali na kuku. Wewe unacheka tu wakati pesa yako ambayo ungenunulia maziwa ya watoto imeliwa. Kazi kwelikweli. Afadhali ungefurahi kwamba jina lako limeandikwa katika kitabu cha uzima, maana mambo yote ya dunia hii yatapita.
Usibahatishe. Pekua vizuri nyuzi zangu utajua mimi ni nani. Kwa ufupi nimeokoka.Wewe ni shahidi wa Yehova nini mbona kama mbili kasoro
Matokeo ya kula ugali na chumvi kupitilizaFuraha ya kilokole hii, kuna shida kidogo
Naomba na mimi nionjeKwani wewe hujui hujui jinsi wanafunzi wa Yesu walivyogawa mikate, maelfu wakala na kusaza?
Pole sana. Mimi sijawahi kula ugali tu na chumvi. Mungu amenibariki. Nakula vyakula vya aina nyingi.Matokeo ya kula ugali na chumvi kupitiliza
Jifunze kuhoji vitu. Hata mimi zamani nilikuwa shabiki wa mpira. Nilifikiri furaha ya wachezaji ni kupata kombe. Sikujua kwamba kombe linaendana na mapesa. Ila walivyo wajanja mara nyingi huwa hawasemi hata pesa wanazopata. Wanasema tu wametwaa kombe!Setfree kuwa na moyo wa upendo wengine wakipata usijinyime Raha ety kisa na wewe hujapata
Kama kitu kinakufurahisha enjoy ikitokea hukielewi achana nacho madam ila siyo unavyokunja kwenye mafanikio ya wengine
Huo ni uchawi mama mchungaji
Who are you?Wakuu, kwema humu?
Zimepita siku kumi tangu nilipowaaga kwamba naenda "kugawa chakula" katika maeneo mengine ya dunia. Mimi nilifikiri akiba ya chakula niliyoiacha humu inatosha kuwafanya watu wanywe na kula hata kwa mwaka mzima. Leo nikasema ngoja nirudi nichungulie nyumbani kukoje? Duh, inasikitisha. Nimeona watu wamedhoofu sana. Sielewi imekuwaje; yamkini mwizi amekuja na kuiba chakula chote. Sasa nimeamua: nitafanya kazi ya ziada. Itabidi niwe natoka kidogo na kurudi na makapu yaliyojaa lishe. Kwa njia hii naamini hamtakonda tena kwa njaa hata mkinimiss kwa siku nyingi.
Kwakuwa mna njaa ya kufa mtu, kaeni sasa mkao wa kula na kunywa vinono nilivyowaandalia!
==============
It is painfully evident that my assumptions were flawed; the scarcity I now witness speaks volumes of an unforeseen theft or some covert plundering. Driven by this grim revelation, I have resolved to labor beyond measure, returning each time with provisions rich enough to banish hunger from your midst, irrespective of how long I remain away.
Are you ready to feast, to drink, and to delight in the abundance you so deeply deserve?
Swali hilo nawauliza nyinyi mlionipa mkono wa kwaheri: Nomadix Zamaulid Munch wa annabelletz47 Saint Anne Evelyn Salt pet96 Samson Ernest Oscar Lyrics Manyanza wa stendi Elisha Monetary doctor leo dada dudus Kimwakaleli Bush Dokta HOLY BLINDFOLD Cherecheche Mwachiluwi Mzee Kigogo Lastmost Retired Arizona 1 njinjo stow away Donnie Charlie Mshana Jr Daudi 1 Joanah yassird200 secretarybird Rebeca 83 Saad30 Marco Seth nakwede97 Maikoel Manfried TheChoji Kingfisher Shadow7 Beira Boy 66KV ndege JOHN Thecoder Mindray Carasco Putin Kusini pride Poppy Hatonn aliekatakamba humutuu Nyamwi255 a sinner saved by Christ Jics Tumwesige senior Mvinyo mpya MFALME WETU Kalpana Mowwo Msumb Nilufer Poor Brain SweetyCandy ras jeff kapita Fundi mahiri wa ujenzi Nikilewa mniache mbwangali Dume Jembe Chinchiler Tate Mkuu Telewolth bin champion steveachi nakwede97 Smart911 wolverineGG ministrant Kijana Masikini maiko sultan Meneja Wa Makampuni 1gb
Bila kumsahau felakuti
Last but not least: EvilSpirit - comment yako ilinifanya nibubujikwe na machozi ya huzuni. Kama hukumbuki, ulisema hivi: "Da nimelia sana, waislamu wengi wameokoka humu JF kupitia wewe, sasa unavyoondoka humu kutageuka msikiti na kuwa sehemu ya kutamba kina kobazi wakiongozwa na kobazi jenerali Covax "
Nimerudi mkuu, futa machozi, jiandae kucheka kicheko kikuu😀
Setfree hilo suala ndiyo nikasema ni roho mbayaJifunze kuhoji vitu. Hata mimi zamani nilikuwa shabiki wa mpira. Nilifikiri furaha ya wachezaji ni kupata kombe. Sikujua kwamba kombe linaendana na mapesa. Ila walivyo wajanja mara nyingi huwa hawasemi hata pesa wanazopata. Wanasema tu wametwaa kombe!
Waulize Moisés Caicedo na Cole Palmer wanapata dola ngapi kwa mwezi ndio utajua furaha yao sio kombe tu. Moisés anapata zaidi ya dola 810,000 kwa mwezi. Zidisha kiwango hicho kwa pesa za nchi yako ndio ujue furaha ya mchezaji wa mpira sio kombe. Wewe hiyo pesa utaipata lini ikiwa unachekelea tu kutazama upepo?
Daah nikajua ni masuala ya kisiasaSijaelewa
Mungu hajapanga wao wapate wewe ukose. Mungu ameahidi kubariki kazi za mikono yetu. Wao wametambua kuwa mpira ni kazi inayowaingizia kipato kikubwa. Na wewe tumia muda wako kufanya kazi itakayokuingia pesa nzuri. Lakini kama kila siku unakodolea TV kuangalia ligi, itakuwa vigumu kupata pesaSetfree hilo suala ndiyo nikasema ni roho mbaya
We unavyohisi nani amepanga hivyo wao wapate hizo dollars na Mimi nisipate.....SI MUNGU unayemuabudu wewe na Mimi au we unaamini nini
Na kama unaamini kama Mimi Kwanini sasa ukunje roho wakati MUNGU unayemuamin ndio kapanga hivyo
I am merely a sojourner in this world, entrusted with the sacred privilege of bearing witness to the truth of Christ. If the Lord so wills, I count it a profound honor to engage in earnest dialogue that sharpens understanding and elevates the soul. Your brother Kiranga from New York is most cordially invited to join the discourse. May our exchange be infused with reverence, illuminated by Scripture, and governed not by the vanity of intellect, but by the wisdom and humility that proceed from the Spirit of God.Who are you?
I would like to have a discusion with you.
And i would invite my brother Kiranga from NewYork.