Jamii yote shangilieni, kaeni mkao wa kula na kunywa vinono!

Mimi sina njaa nimeshiba vya kutosha mbona
 
Liwalo na liwe? Uko tayari MENEMENE TEKERI NA PERESI itimie kwako? Sidhani, labda hujajua maana ya maneno hayo.
Soma tena Danieli 5:26–28
Wewe ndiyo chanzo ,ukija jamvini hunitag wala kuonesha kuwa unanikubali mtenda dhambi mimi walau na mimi niusogelee upako .

Nikieleza hisia zangu unaanza kusema umekuja mara ya mwisho eti nisipookoka basi yatanikuta magumu

Ndiyo nimekubali kuchomwa moto tu ,maana nilihisi kuiona nuru ya bingu kupitia kwako na ni hapo nilihisi kuwa hii ni ndoa kabisa sasa ulivyoanza kunitisha hapo nimekubali nichomwe moto tu
 
Hivi mimi natumia jf hii hii mbona kama nimekuwa mgeni!?
 
Welcome back mama mchungaji, nimefurahia sana kurejea kwako!
 
Mbaga Jr hawezi kujiua ndio kwanza Chelsea kachukua kombe la Dunia halafu akimbie Raha
Duh, mnapenda sana mpira. hao Chelsea baada ya kuchukua kombe wamewagawia dola ngapi?
 
Kwani nilazima ulipwe furaha tu inatutosha.....kwani we hamna kitu unachokipenda kinakupa furaha bila kukuingizia hela
 
Kuna wakati huwa wanaongea kwa lugha isiyoeleweka. Ni baada ya kunywa balimi?
Hiyo inaitwa kunena kwa lugha. Haitokani na kunywa balimi. Ukisoma Matendo ya Mitume, siku ya Pentekoste, wanafunzi wa Yesu walijazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha mpya. Watu walifikiri wamelewa, kumbe sio.
 
Unajua maana ya kugawa chakula?
 
Ww wokovu umekupa sh ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…