Jamii yote shangilieni, kaeni mkao wa kula na kunywa vinono!

Kwani nilazima ulipwe furaha tu inatutosha.....kwani we hamna kitu unachokipenda kinakupa furaha bila kukuingizia hela
Wenzako waliopokea kombe waulize. Wanafurahi sio kwa sababu ya kombe. Ni kwa sababu watapata dola kibao za kununua wali na kuku. Wewe unacheka tu wakati pesa yako ambayo ungenunulia maziwa ya watoto imeliwa. Kazi kwelikweli. Afadhali ungefurahi kwamba jina lako limeandikwa katika kitabu cha uzima, maana mambo yote ya dunia hii yatapita.
 
Ww wokovu umekupa sh ngap
Ukiutafuta kwanza ufalme wa Mungu na haki yake yote, hata mapesa unapata. Soma muujiza wangu huu.
 
Daah we unapenda kukuza mambo halafu hiyo roho ya kichawi kwamba wao wakipewa dola me niumie hapana kwa kweli
 
Wewe ni shahidi wa Yehova nini mbona kama mbili kasoro
Usibahatishe. Pekua vizuri nyuzi zangu utajua mimi ni nani. Kwa ufupi nimeokoka.
 
Setfree kuwa na moyo wa upendo wengine wakipata usijinyime Raha ety kisa na wewe hujapata

Kama kitu kinakufurahisha enjoy ikitokea hukielewi achana nacho madam ila siyo unavyokunja kwenye mafanikio ya wengine

Huo ni uchawi mama mchungaji
 
Matokeo ya kula ugali na chumvi kupitiliza
Pole sana. Mimi sijawahi kula ugali tu na chumvi. Mungu amenibariki. Nakula vyakula vya aina nyingi.
Mathayo 6:25,33
"Kwa sababu hiyo nawaambieni, msiwe na mashaka juu ya maisha yenu, ya kwamba mtakula nini au mtakunywa nini; wala juu ya miili yenu, ya kwamba mtavaa nini. Je! Maisha si zaidi ya chakula, na mwili si zaidi ya mavazi?... Bali utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na hayo yote mtazidishiwa.”
 
Setfree kuwa na moyo wa upendo wengine wakipata usijinyime Raha ety kisa na wewe hujapata

Kama kitu kinakufurahisha enjoy ikitokea hukielewi achana nacho madam ila siyo unavyokunja kwenye mafanikio ya wengine

Huo ni uchawi mama mchungaji
Jifunze kuhoji vitu. Hata mimi zamani nilikuwa shabiki wa mpira. Nilifikiri furaha ya wachezaji ni kupata kombe. Sikujua kwamba kombe linaendana na mapesa. Ila walivyo wajanja mara nyingi huwa hawasemi hata pesa wanazopata. Wanasema tu wametwaa kombe!
Waulize MoisΓ©s Caicedo na Cole Palmer wanapata dola ngapi kwa mwezi ndio utajua furaha yao sio kombe tu. MoisΓ©s anapata zaidi ya dola 810,000 kwa mwezi. Zidisha kiwango hicho kwa pesa za nchi yako ndio ujue furaha ya mchezaji wa mpira sio kombe. Wewe hiyo pesa utaipata lini ikiwa unachekelea tu kutazama upepo?
 
Who are you?

I would like to have a discusion with you.

And i would invite my brother Kiranga from NewYork.
 
Setfree hilo suala ndiyo nikasema ni roho mbaya

We unavyohisi nani amepanga hivyo wao wapate hizo dollars na Mimi nisipate.....SI MUNGU unayemuabudu wewe na Mimi au we unaamini nini

Na kama unaamini kama Mimi Kwanini sasa ukunje roho wakati MUNGU unayemuamin ndio kapanga hivyo
 
Mungu hajapanga wao wapate wewe ukose. Mungu ameahidi kubariki kazi za mikono yetu. Wao wametambua kuwa mpira ni kazi inayowaingizia kipato kikubwa. Na wewe tumia muda wako kufanya kazi itakayokuingia pesa nzuri. Lakini kama kila siku unakodolea TV kuangalia ligi, itakuwa vigumu kupata pesa
 
Who are you?

I would like to have a discusion with you.

And i would invite my brother Kiranga from NewYork.
I am merely a sojourner in this world, entrusted with the sacred privilege of bearing witness to the truth of Christ. If the Lord so wills, I count it a profound honor to engage in earnest dialogue that sharpens understanding and elevates the soul. Your brother Kiranga from New York is most cordially invited to join the discourse. May our exchange be infused with reverence, illuminated by Scripture, and governed not by the vanity of intellect, but by the wisdom and humility that proceed from the Spirit of God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…