Jamii yote shangilieni, kaeni mkao wa kula na kunywa vinono!

Heb nichek PM
 
Just don’t tell me your PM means "Prepare Me" — I might start preaching right back!
Serious, nimependa uwe rafik angu wa dhati, mi napenda sana Mambo hayo.. na Nina maswali ya kuuliza,, please 🥺 just come
 
Unataka kumla Ma Mchungaji? Mbengo zemekataa! Shetani shendwaaaaa! 😂😂😂
 
Serious, nimependa uwe rafik angu wa dhati, mi napenda sana Mambo hayo.. na Nina maswali ya kuuliza,, please 🥺 just come
Acha utani ndugu yangu, Yesu atarudi halafu ukutwe hujaokoka, utalia na kusaga meno. Mbinguni kuna raha sana huko, tamaa za dunia hii zisikufanye ukose mbingu. Tubu haraka, ufalme wa Mungu umekaribia
 
Nna maswali kadhaa, ambayo ni personal sana, nataman unisaidie...

Kwan PM ni kitandan useme tutakuwa tunafany zambi, hapana madame!!

Ni Hekima yako imenivutia kutaka kujifunza zaid, Mambo ya mbingu na nchi

Tafadhali, tuwasiliane ili utatue Changamoto yangu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…