Jamii za watu weusi zina idadi kubwa ya Watu wenye Crab Mentality (Kaa kwenye ndoo)

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo.

Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake kinachotekea hakuna kaa atakayefanikiwa kutoka katika ndoo.

Hii ndo mentality ya jamii nyingi za WATU weusi huitwa.
'Crab mentality'

Kusonga mbele au kufanikiwa huwa ni mchakato wa mambo mengi ikiwemo kupata taarifa sahihi kujituma na kupewa support au kushikwa mkono.

Kwakuwa watu hawana uwezo wa kiuchumi Ila watu wengi huwa wanakuwa na taarifa sahihi kuhusu fursa fulani .

Ila kwa kutofikiria vyema wamekuwa wakibaniana hata fursa za kupeana taarifa tu huku wakihisi hao ambao watawapa fursa watawapita na kufanikiwa hii ndo huitwa 'Crab mentality'

Nimeshare kuhusu hii mentality Kuwa haifai kwa Dunia ya sasa maana imeshapitwa na wakati.

Dunia ya sasa ili usaidie watu na ku- make a difference just give them insights , wachoree watu ramani waambie ukipita hapa na hapa mtafika sehemu fulani hiyo pekee ni msaaada mkubwa Sana .

Pia hata MTU akifanikiwa kupitia ushauri wako is blessings . don't hate someone's else prosperous.

NEGATIVITY , ENVIOUS , RESENTMENT, GRUDGE . hizi zote huwa zinakuwa na compound interest, the more you embrace negativity the more you ruin ur LIFE and network.

👇🏾

Screenshot_20250103-173520_1735914982042.jpg
 
Nimejifunza kitu hapa. Jamii nyingi zina hii mentality na sijui ni kwa nini. May be ni malezi tuliyokulia yanatupelekea kuwa na hii mentality au shida ilianzia wapi? Kwa sababu haiwezekani mtu anapambana afanikiwe yeye tena ikiwezekana hata wewe unaweza faidika lakini mtu unaanza kumuonea wivu kumrudisha nyuma
 
Truly
 
Yani ni balaa
 
Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo.

Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake kinachotekea hakuna kaa atakayefanikiwa kutoka katika ndoo.

Hii ndo mentality ya jamii nyingi za WATU weusi huitwa.
'Crab mentality'

Kusonga mbele au kufanikiwa huwa ni mchakato wa mambo mengi ikiwemo kupata taarifa sahihi kujituma na kupewa support au kushikwa mkono.

Kwakuwa watu hawana uwezo wa kiuchumi Ila watu wengi huwa wanakuwa na taarifa sahihi kuhusu fursa fulani .

Ila kwa kutofikiria vyema wamekuwa wakibaniana hata fursa za kupeana taarifa tu huku wakihisi hao ambao watawapa fursa watawapita na kufanikiwa hii ndo huitwa 'Crab mentality'

Nimeshare kuhusu hii mentality Kuwa haifai kwa Dunia ya sasa maana imeshapitwa na wakati.

Dunia ya sasa ili usaidie watu na ku- make a difference just give them insights , wachoree watu ramani waambie ukipita hapa na hapa mtafika sehemu fulani hiyo pekee ni msaaada mkubwa Sana .

Pia hata MTU akifanikiwa kupitia ushauri wako is blessings . don't hate someone's else prosperous.

NEGATIVITY , ENVIOUS , RESENTMENT, GRUDGE . hizi zote huwa zinakuwa na compound interest, the more you embrace negativity the more you ruin ur LIFE and network.

👇🏾

View attachment 3191551
Wagamba ge!!
 
Back
Top Bottom