Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja.
Vituo vya polisi kuanzia vidogo na vikubwa kila napo pita vilikuwa vimezimwa taa na wamjiweka gizani usiwaone na maarufu ya bangi yakinukia.
Mtaani wakipita bado yale yale na rudia kuwa uvaaji wa soski unaendelea.
Sasa jana usiku mlikuwa mnataka nini wakati tarehe 9 si maandamano mchana.