Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.