Jamiiforuma acheni upendeleo kwa Tundu Lissu, najua mnataka awe mwenyekiti wa Chadema jambo ambalo haliwezekani

Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.

Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Ukimaliza hapa nenda na Twitter, uende na Facebook na uende na Whatsapp groups.

Maana huko kote Lissu anavuma.
 
Hasira zimekupanda mfuasi na chawa wa Mbowe, mlioahidiwa maburungutu ya noti kwa Mbowe, mambo yanawaendea ndivyo sivyo?

Mbowe ni mpuuzi, wenye akili timamu tunampuuza kitambo sana huyo chawa na mamluki wa CCM

Kwenu machawa wake mliokosa haya, chama kimekosa mwelekeo bado mnang'ang'ana na mtu anayeishi kwenye karne ya 15 huko?

Shenzi kabisa!
 
why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO

BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Mafia wa Mbowe mtalala na viatu.

Lissu is a proven Inteligent, labda wewe kilaza ndio huelewi
 
why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO

BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Machawa ya mbowe kazini.
 
Wewe liccm, inakuuma nini na haya mambo ya Chadema?
 
Acha upuuzi, ulitaka lissu aminywe na huku? Kasome mitandao inayompa flag mbowe ipo mingi
 
Hakuna upendeleo wowote ,hii ni ari halisi watanzania wengi wanampenda Tundu Lissu,hanaga kona kona kabisa ndio kiongoz anatakiwa awe hvyo ingawa Lissu ana mapungufu yake ila ni machache
 
Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.

Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Ukisikia upumbavu na Nusu ndo huu Sasa. Yaani wewe lipumbavu na nyongeza. Onyesha Uzi ulioanzisha ukafutwa Kenge wa Kimbiji wewe.
 
Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.

Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Zero Brain. Jamii Forum wanahusikaje. Siyo jamii forum, bali ni wananchi na wanachama wengi wa JamiiForum wanamkubali.

Ndyo maana unaona nyuzi nyingi huku JF zipo zaidi upande wa Kissu.
 
why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO

BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Tatizo mmezoea uongo uongo na Lissu ni kama Trump hapepesi macho wala uongo uongo wa kupooza maneno ndio manaa waoga waoga na establishment hawawezi mpenda ila sisi ambao tunataka active politics yeye ndio anatufaa kwa sasa maana ni msafi na nia na dhamira yake ni safi. Atakuwa threat sana kwa campaign za 2025 na kurudisha ile amsha amsha ya M4C miaka ya 2008-2013.
 
Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.

Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Kwani wewe uliwahi kupandisha uzi wa bwanako Sultan Mbowe mods wakaufuta? Na jee moderators ndiyo wanaanzisha hizo nyuzi za Lissu humu? Madai yako hayana mashiko ni kama mumetoka kupiga konyagi na Sultan ndiyo ukaandika huu uzi.
 
why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO

BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Chawa wa Mbowe mumevurugwa mbaya.
 
Mabwabwa ya ccm na makengeza mbowe aka ayatollah mpaka mpige ndulilu ndio lissu awaache.
 
Back
Top Bottom