Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ukimaliza hapa nenda na Twitter, uende na Facebook na uende na Whatsapp groups.Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Maana huko kote Lissu anavuma.