Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
watashindana lakin hawata shinda 🐒Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Sasa kwani wao ndiyo wanaoanzisha thread mkuu? Ni watu tu wanaoanzisha threads hizo na wewe unaweza kufanya hivyo.Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
wanachama wanataka siyo jamiiforumNimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Hahahahahaahaa imekuaje tena hapa sijaelewa kituNimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYONimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Kwani JamiiForums iliishawahi kumsaidia nani akafanikiwa?Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Poll mbona ipo boss na Mbowe kapigwa parefu.Waweke Poll yaishe.
Lissu anapendwa mitandaoni kote, hata x utasema Billionea Elon Musk anampendelea. Kule kwa wajumbe anaweza kuwa hape dwi na hatashinda.
Duu nilikuwa sijaichekiPoll mbona ipo boss na Mbowe kapigwa parefu.
Asipokuelewa basi atakuwa ni new recruit wa LMBSasa kwani wao ndiyo wanaoanzisha thread mkuu? Ni watu tu wanaoanzisha threads hizo na wewe unaweza kufanya hivyo.