JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate


Kingine ist debate life in village is bbter than life in town

I gess u dont have your dikshenari today
 


so sad ...nilivyoona hii thread niliifungua kwa mbwembwe nikitarajia kukuta nondo za hawa jamaa( nawakubali)... may be hawakuelewa mantiki ya mwanzishaji..or may be the're not aware of what is going on here in "chit-chat"
mtazamaji kama vipi tafuta wengine and dont exclude NN--miafrikaaaa ......
 
I got my caramel popcorn and my soda pop ready.
Do u have any point of interruption regarding the subject debate and key speakers .

BTN
wich is your side the village or ze town lol
 
Kiranga mimi huwa unaniacha hoi mkuu!Lol!

BTW nasikia wewe unazungumza multiple languages fluently, sikuuliza ni lugha zipi, however you must be a genious, how can you utilize it for our country's benefits?

Have you ever thought about that?

Nchi yetu haiwezi kuendelea mpaka watu wetu watakapoacha kuridhika kirahisi, kama kumuona Kiranga mwanazamivu kama jini-ujuvi kwa sababu tu anaweza kudunga uzi wa sentensi za maneno mazuri.

Nataka kuanzisha kigazeti kinachohusu mambo ya nishati tu. Nishati, matumizi bora ya nishati, nishati na maendeleo vijijini. Njia za kutanua wigo wa nishati mbadala. Kuondoa utegemezi wa kuni vijijini. Kusaidia kinamama waepuke moshi katika kupika. Tunawezaje kunufaika na mifano ya wengine walioanza kabla kutumia nishati mbadala.Na mambo kama hayo.

Kama kipo tayari nitafurahi kukijua ili nijue kipi cha kuongezwa.

Ngoma huanza na lele, na miye hicho kigazeti ndicho kitakuwa lele langu kabla hata kupasuka msamba na makubwa.
 
Oyaaaaa, mbona debate imekwama jamani. Hii thread ni nzuri sana katika kipindi hiki cha mapumziko.

BTW Mwita25 unaruhusiwa kutumia ID yako moja tu katika hii thread.

Haya leteni hoja.
 
Pelekeni upumbavu wenu huko nyie vilaza mnaotaka kuigilizia maneno ya kiingereza kutoka kwa wenzenu. Narudia tena wewe uliyeniweka kwenye debate yako ya kiboya una matege ya ubongo na nakushauri peleka uchafu wako kwa vichaa wenzako pale hospitali ya Mirembe. Naona unajisikia kukunwa upele wako wa kila mara unapoamua kuanzisha thread kwa kutumia jina langu siyo? Pu%@=€ffffffffff
 

offcourse lazima utoe mitusi...kiranga sio wa kitoto...
 
Mbona wadau mmeshajudge kuwa Mwita25 ndio ana wakati mgumu? Inaweza kuwa opposite, oohoooooo...
 

For NN naona hata kwenye mambo ya lahaja, tashtiti na takriri yumo, mambo debate kama hizi za kamumbas tayari kashasuha mawe kama ( marquee match up) nipo na dictionary karibu

Where is ze time keeper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…