JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.

Heheheheee...there you go! You just couldn't resist the urge lol.
 
Wewe uliyeanzisha thread kwa kutumia jina langu ni mpuuzi, mjinga na punguwani. Una mawazo mgando yaliyochanganyika na chembechembe za uwendawazimu. Ni kinara wa wodi ya vichaa ya hospitali ya Mirembe na hustahili kukabidhiwa kutunza hata kijiko kwasababu utakitafuna.

Mwita mdogo wangu wa hiari, kama sikosei juzi ulijianzishia thread ya kujitangaza kwa madai kwamba kila siku wanajipa promo wao wewe hupewi, sasa leo hii wamekupromoti kwani umeonekana kama mtu pekee katika members zaidi ya 6000 (kama niko sahihi) ambae unaweza kutoa hoja zako kwa kutumia lugha ya malkia bila wasiwasi........ndo ushukuru na kuuendeleza huu mjadala mdogo wangu! umeheshimika sana! shusha nondo basi eeehh
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.
Duhu, jamaa wameanza. Si unaona Kiranga anavyoanza kukunja shati. Haya Mwita25 sasa kazi kwako. Ukumbi umeshajaa watazamaji. Tunasubiri ujibu mapigo!
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.

Jaman sijapata hata kimoja japo niliamua kutumia lenzi kusoma hizo words....mhhh hzi lugha!! ndo ile ile tuliyofundishwa kule hemshitu au ni nyingine??
 
Mrembo By nature said:
Jaman sijapata hata kimoja japo niliamua kutumia lenzi kusoma hizo words....mhhh hzi lugha!! ndo ile ile tuliyofundishwa kule hemshitu au ni nyingine??

Hapo bado speaker wa upande wa Village hajaanza . Tafuta panadol kabisa

Nayani ngabu
ebu tusaidie ( Najua tuko wengi) hapa kufanye translation kwenye kwenye 2nd tier or 3rd tier ya english. am sure u can . Maana hii hata dikshenari inagoma kufunguka sasa. Dah
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.

Wapi thesaurus?
 
Nayani ngabu
ebu tusaidie ( Najua tuko wengi) hapa kufanye translation kwenye kwenye 2nd tier or 3rd tier ya english. am sure u can . Maana hii hata dikshenari inagoma kufunguka sasa. Dah

Mhh jaman nlijua ni mie tu nliesomea hemshitu kumbe na wewe jaman....
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.
Kwa nyie wenye dilkshenare karibu, hivi mtafungua kurasa ngapi ili kuelewa hiki kiinglishi?
 
Kiranga has drawn the first blood. Let's see what Mwita25 got.
Sasa nitaanza kupayuka Kiranga boma ye! (Hivyo ndivyo wakongo walivyomhamasisha Mohammed Ali wakati alipozipiga na Joe Frazier huko Kinshasa, Zaire, mwaka 1974 kwenye lile pambano la Rumble in the Jungle)
 
Kamusi yangu iwapi jamani! Khaa, hiki kingleza cha ndani sana!

51OYKV5dH8L._BO2,204,203,200_PIsitb-sticker-arrow-click,TopRight,35,-76_AA300_SH20_OU01_.jpg

[h=1]The Oxford Dictionary of Difficult Words [Paperback][/h]Archie Hobson (Editor)
2.5 out of 5 stars See all reviews (4 customer reviews) |
Like(0)​

[TABLE="class: product, width: 0"]
[TR]
[TD="class: priceBlockLabel, align: right"]List Price:
$18.95
$12.88 & eligible for FREE Super Saver Shipping on orders over $25. Details

[TD="class: priceBlockLabelPrice, align: right"]Price:[/TD]

[TD="class: priceBlockLabel, align: right"]You Save:[/TD]
[TD="class: price"]$6.07 (32%)[/TD]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]In Stock.
Ships from and sold by Amazon.com. Gift-wrap available.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]Only 14 left in stock--order soon (more on the way).
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]Want it delivered Tuesday, December 20? Order it in the next 2 hours and 58 minutes, and choose One-Day Shipping at checkout.
Details

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]Ordering for Christmas? To ensure delivery by December 24, choose FREE Super Saver Shipping at checkout. Read more about holiday shipping.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]19 new from $6.95 29 used from $1.57

amazon.com

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kamusi yangu iwapi jamani! Khaa, hiki kingleza cha ndani sana!

Sasa kama ndo debate imeanza mbona mie ntatoka bila kitu kwa lugha hii, hapo mwita hajaenda kutafuta dictionary yake na kushusha nondo zake!!kichwa kinauma bwana khaaaa
 
Yaani humu leo kipele kimepata mkunaji...basi balaa tupu!! # Ni raha tu na kuburudika...:tongue:
 
Back
Top Bottom