JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

kiranga My apology. costant condition sikuiona. by da way nimesoma upya michango yako still haijengi. coz fine mtu akisoma atasema dah jamaa kiranga anajua kimombo huyu. lakini hawezi kusema kiranga ameongea bonge la point. sasa hapo kazi yako ni bure. andika vinavyoeleweka. huwezi in public ukatumia maneno yanayoelezea muundo wa gari, maneno ya kitaaluma. maana wanayoyaelewa ni wanataaluma tu. si wa kawaidi. maudhui yako yatakuwa hamna kitu, kitakachobakia ni fani tu. hapo umefurahisha jamii ila hujaielimisha. wakati mwanzo ulipinga mada kwa kutokuwa tayari kufurahisha jamii.

Toa mfano wa mchango gani unaouongelea, sipendi ku generalize.

Inawezekana wewe ndiye ambaye hujaelewa kinachosemwa, au inawezekana hukupata memo ya "serious is overrated" ukajimix katika clowning session.

Hayo maneno yanayoelezea muundo wa gari ya kitaaluma ni yapi? Na mie mbona si fundi magari wala mtaaluma na nimeyajua?

Kuwa specific, usilete habari jumla jumla zisizo mifano wala justification.
 
@menyidyo

Angalia usije kugeuka mtu wa kukosoa, only to have your critique corrected kama juu hapo, urudi over and over again kuomba msamaha "Kiranga my apology"

Unaweza ku exhaust quota yako ya apologies.
 
Wewe uliyeanzisha thread kwa kutumia jina langu ni mpuuzi, mjinga na punguwani. Una mawazo mgando yaliyochanganyika na chembechembe za uwendawazimu. Ni kinara wa wodi ya vichaa ya hospitali ya Mirembe na hustahili kukabidhiwa kutunza hata kijiko kwasababu utakitafuna.
come on, as he said lets just entertain ourselves, you dont have to use hush language like that , if you don't like it say it in polite language , we are here not to fight. please!
 
This chicanery / charade of a charismatic Christmas chorus chant sprinkled with cantankerously caustic contrarian's combustions can't cut it in a cutthroat cakewalk.
unafanya presentation ndo unatumia haya maneno unategemea nn? simply ni super upuuuzi. coz haueleweki. ndo maana mantiki inakutambua kama unafanya show tu.
 
@kiranga. use da normal logic hueleweki ndo hata kwa 4 % wanaosoma uzi huu. kwani mimi ni wa kwanza kukwambia?
 
Lakini Bu'yaka hapa watu si tuna have fun tu? Mbona uko serious ki hivyo?
Kweli, lakini sehemu ya hiyo ku "have fun" ni kumchondoa mchemfu wa lugha, isitoshe mada yenyewe iliwekwa katika format ya "ligi" na wakati Mwita anachanwa kwa kukimbia debate huku Kiranga anaitwa "genius" kwa kuongea lugha nne za Kimang'ati, Kiswahili, Kijaluo na Kiingereza kilichovunjika mbona hamkusema tuna have fun tu?

Kiranga akiandika miborongo hatuwezi wote kumpigia makofi, ni mada ya lugha, ukiharibu unamalizwa vile vile, utaandikaje madudu kama "cutthroat cakewalk" halafu tukuache bana?
 
Bu'yaka If you don't mind.... Naomba kujua umeelewa vipi neno "cutthroat" na "cake walk" na why they can not blend......
 
Bu'yaka If you don't mind.... Naomba kujua umeelewa vipi neno "cutthroat" na "cake walk" na why they can not blend......
Sio "nimeelewa vipi." Maana zake zinajulikana wazi. Na hazichanganyiki. Huwezi kuwa na "cutthroat cakewalk," period!

Na sio "cake walk." Cakewalk!
 
Sio "nimeelewa vipi." Maana zake zinajulikana wazi. Na hazichanganyiki. Huwezi kuwa na "cutthroat cakewalk," period!

Na sio "cake walk." Cakewalk!

Wewe ubishi jadi inaelekea, nimekueleza hapo juu, kama unaweza kuwa na "the biggest small fish" kwanini usiweze kuwa na "cutthroat cakewalk"?

Au unasema kwamba huwezi kuwa na "the biggest small fish"? Can you show me the difference between "the biggest small fish" na "cutthroat cakewalk" ? Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "passive-aggressive behavior"?

Acha kukariri. A little knowledge is dangerous indeed.
 
Kutumia maneno ambayo wenzio wote hawaelewi ni sawa na kuoa afu ukawa unaikwepesa kwa mkeo.
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.

Hiki ki-English kina wenyewe,du!
 
Permit me to gladly grab my sootless sticks out of the hazily hued humidor and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity.

Kidhungu kidhungu hichi!!
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.
flashback za yr 2012....ilikuwa balaa.wapi @Mwita25?
 
Back
Top Bottom