Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
kiranga My apology. costant condition sikuiona. by da way nimesoma upya michango yako still haijengi. coz fine mtu akisoma atasema dah jamaa kiranga anajua kimombo huyu. lakini hawezi kusema kiranga ameongea bonge la point. sasa hapo kazi yako ni bure. andika vinavyoeleweka. huwezi in public ukatumia maneno yanayoelezea muundo wa gari, maneno ya kitaaluma. maana wanayoyaelewa ni wanataaluma tu. si wa kawaidi. maudhui yako yatakuwa hamna kitu, kitakachobakia ni fani tu. hapo umefurahisha jamii ila hujaielimisha. wakati mwanzo ulipinga mada kwa kutokuwa tayari kufurahisha jamii.
Toa mfano wa mchango gani unaouongelea, sipendi ku generalize.
Inawezekana wewe ndiye ambaye hujaelewa kinachosemwa, au inawezekana hukupata memo ya "serious is overrated" ukajimix katika clowning session.
Hayo maneno yanayoelezea muundo wa gari ya kitaaluma ni yapi? Na mie mbona si fundi magari wala mtaaluma na nimeyajua?
Kuwa specific, usilete habari jumla jumla zisizo mifano wala justification.