JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

For NN naona hata kwenye mambo ya lahaja, tashtiti na takriri yumo, mambo debate kama hizi za kamumbas tayari kashasuha mawe kama ( marquee match up) nipo na dictionary karibu

Where is ze time keeper

weka basi tafsiri yai unajua wengine hatuna dikhsenari ..
 
Kumbe ni kila m'bongo akisifiwa kidogo anaanza maringo!?acheni kuringa nyie maboya..

Umenikosa mkuu.

Kanuni yangu ni kwamba, naenda kwa dira yangu ya ndani na vitu viwili ambavyo haviwezi kunibadilisha ni sifa na lawama.

Ni rahisi sana kupata bichwa kwa sababu mtu kaanzisha uzi huu kwa jina lako, ukasahau kwamba kanuni yako ya msingi ni kutoshiriki katika maigizo na sarakasi za kufurahisha baraza tu.

Maringo halisi yangekuwa kama ningekubali kuingia katika uanasesere huu, mbali na kanuni zangu, kujionyesha tu kwamba mie ni kijini-ujuvi kama nilivyosifiwa.

Lakini kwa sababu nina kanuni ya kutoyumbishwa na sifa wala lawama, siwezi kubadili muelekeo ili kufurahisha baraza tu.

Mtu akianzisha mjadala ninaoupenda, bila hata kuweka bango kubwa, utaniona tu namwaga vitu.

Lakini habari za kugeuzana wanasesere mie sitaki.

Ushanielewa?
 

Kuntu!
 
mwita tunakusubiri,unakuja na kuondoka,dont act significantly counterproductive way,leo hatulali tunataka tuone uwezo wako!!
 
Nadhani hiyo komepetisheni haitoanza mpaka Spika Gaijin atokee na kukata utepe. Na mimi nishajiunga tena nimekaa kiti cha mbele ili niyaone vizuri hayo masumbwi ya un'gen'ge wakati yakirushwa kati ya mashujaa hawa wawili!
 
Safi mkuu, i will support in anyways kama ukihitaji msaada wa aina yoyote mkuu katika ufanikishaji, ama hata kutujulisha ili tuvipate vijarida hivyo, thread ni nzuri ofcourse it has brought the best out of you.
 
As a way of raising money for JF, I've got a grand idea.

Why not have this showdown live of pay-per view? And the money collected will go to the JF support fund.

The problem is they think we are Mr beaning them lol
 
The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…