JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

Ushasema mwenzie hakushiri, sasa itakuwaje tena "Kiranga prevailed"?
Ukiongea kizigua cha babaako na kidengeleko cha maamako na Kiswahili ulichokulia unaongea na kizungu cha kujifunza shule hizo ni lugha nne, hiyo inakufanya "genius"?
unajuaje ni mwanachi wa kawaida"?
Au yeye ndio haji utilize kwa nchi yake? Wafanyeje, wamfate nyumbani wamteue Waziri wa lugha nne?

Una ma assumptions kibao mazee, kuwa makini kidogo
Acha wivu mbaya, unajuwa maana ya kuprevail?

Mengine uliyoandika mapovu mengi siwezi jibu, ungetuliza hasira kidogo, wivu wote huo na hasira nini tena?
Ama na wewe ni nani?

Wewe umejuaje kama hizo ndo lugha anazozungumza?

Wivu wa kitoto na ukurupukaji wa kijinga!
 
Hapa sikuelewe Jmushi1...inamaana mtu kufahamu lugha nyingi na kuongea bombastics ndio kigezo cha kuwa kiongozi mzuri?
Utajiuwa tu mijitu ilijiuga JF kwa nia zao, hukuona nilipozungumzia kuhusu science?Ama ulidhani ni "Unga unga"?
 
One thing is for sure. Matokeo ya debate hii yako more genuine than kura ya maoni ya Mjengwablog.

Mtazamaji kuna swali. Je, lengo la debate limetimia? Kama halijatimia, je tufanye nini ili litimie?

Tukuhitimisha inawezekana tukaonekana hatuko fair. May be Tuelekee ukumbi wa MGM grand no 2 kwenye pambano lingine lilioanzishwa na mlachake huku tukisubiri kuona labda mjumbe mwingine ataibuka na hata sentensi moja.

We unaonaje
 
Pundit,Blueray,kiranga hawa wanafanana sana,wako deep kwenye Quantum Physics,Mama na Kuhani pia wako deep.Kuna uzi mmoja ulikuwa unahusu Electrons aisee Pundit,mama na kuhani walimwaga shule hadi basi
Nakumbuka hiyo thread, ila watu wanaona udengereko peke yake...
 
watu bar wakiagiza kinywaji. wa kwanza akaagiza MARTINS single, mwingine JACK DANIELS double, wa tatu GORDON single, basi dada yetu mtanzania hakuelewa akajua wav wanajitambulisha nae akasema MANKA MUSHI married

Ha ha ha! Hii kali!

OOOH Pourquoi quittez-vous Matola? Restez avec moi ici, nous devons connaître LE GAGNANT DU FRÈRE DE MATCH CE JOUR

Hapo juu ngoja Russian Roulette aje mataelewana.
 
This has to be a debate of the Year....

Askari Kanzu unajua upo wapi? lol (au umepotea njia?)

Habari ya siku Mkuu...
Asante Sister AshaDii, mie mzima wa afya. Jana nilijikwaa nikaangukia huku na hadi sasa bado ninavinjari nikimngojea kwa hamu Mwita25 atokee na makombora ya nyuklia!
 
Tukuhitimisha inawezekana tukaonekana hatuko fair. May be Tuelekee ukumbi wa MGM grand no 2 kwenye pambano lingine lilioanzishwa na mlachake huku tukisubiri kuona labda mjumbe mwingine ataibuka na hata sentensi moja.

We unaonaje

Imekaa vizuri, twende huko...
 
Asante Sister AshaDii, mie mzima wa afya. Jana nilijikwaa nikaangukia huku na hadi sasa bado ninavinjari nikimngojea kwa hamu Mwita25 atokee na makombora ya nyuklia!

Kama unaweza wasiliana naye mwambie tumezoea yeye anapigwa ban na mod hii ya yeye kujipga ban si kawaida yake. Ni chit chat tu. Au ni kweli kwa mura mura hakuna cha chita chit kila kitu ni so serious ndio maana anajinoa aje na nondo za uhakika
 
Askari kanzu inaelekea ndo heavy weight wa kupambanishwa na Kiranga, NN ndo Mr chairman AKA Mr Speaker, lets have some fun!

Topic sijui ni the same ama vipi? Mtazamaji unaionaje hii?
 
Askari kanzu inaelekea ndo heavy weight wa kupambanishwa na Kiranga, NN ndo Mr chairman AKA Mr Speaker, lets have some fun!

Topic sijui ni the same ama vipi? Mtazamaji unaionaje hii?

Tatizo ni Kuwa NN kwenye ukumbi mwingine tayari kishapambanishwa na FF na Yoyo. Nenda kachungulie hapa tusubiri . may be mpinazai wa kranga akiibukia kwenye siasa tutajua ameshinda lol
 
Askari kanzu inaelekea ndo heavy weight wa kupambanishwa na Kiranga, NN ndo Mr chairman AKA Mr Speaker, lets have some fun!

Topic sijui ni the same ama vipi? Mtazamaji unaionaje hii?
Mkuu ugladieta huo siuwezi. Afadhali niendelee kutwangana na wakenya flani kule kwenye jukwaa la kimataifa!
 
Unashangilia, umeelewa?
hiyo a double s ni nini?

Au ndo maneno komoni tuloyaweka kibindoni kwa ajili ya mikutano
Sounds good
singing the same song
That's perfect!
Hi guys

That double s word doesn't bother me.
I just loved the way NN stood up tall & present himself with no sign hesitation?
Kwani we hujasikia watu wakitumia "s" word kama neno la kitaa?
Hata Bush alisema "I catch him I kick his ..ss, guess who is that him.
Take it easy.
 
FF..mr NN kakukimbia kuna Uzi nimeanzisha naona kule ndio anashusha vitu..kwa kua mm nakuaminia mfuate kule kule

Kweli wewe kama mtoto mchonganishi, yaani umekja kumwita kabisa....:lol::lol:
 
Back
Top Bottom