JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

Mkuu, hilo gozo Cuban nini?

Hahahaha, kuna Cubano unaambiwa limekuwa smuggled against embargo, halafu kuna lingine nawapa specification mwenyewe ndani ya Domingo hapo, halafu trademark naweka jina langu "Don Kiranga" karibu utaliona mtaani.

Unayazibukia nini? Ulipate hilo kwa evening walk viungani huku kipupwe hiki....

Unapata flavor kuanzia za Che mpaka Churchillian.

48397.jpg

w_churchill.jpg
 
Chinga la Kiranga ni Bluray,akitokea hapa lazima Kiranga akimbie

Hahaha, umezibuka wee.

Bahati nzuri kaka Bluray kapewa mradi wa Malaria Ubondeini huko, kuna mtoto wa Kibondei kamuweka kati basi humu hata huwezi kumuona.
 
watu bar wakiagiza kinywaji. wa kwanza akaagiza MARTINS single, mwingine JACK DANIELS double, wa tatu GORDON single, basi dada yetu mtanzania hakuelewa akajua wav wanajitambulisha nae akasema MANKA MUSHI married

hahaha nimesmile bila kupenda
 
basi chert ni madini na talc ni jiwe
njoo mtaani utayaona safi
lakini makabrasha ni kujilisha akili tu
Chert ni moja ya forms za jiwe tabaka.Talc ni madini yanayopatikana kwenye mwamba geu.Kama nimekosea,unisahihishe
 
Hahahaha, kuna Cubano unaambiwa limekuwa smuggled against embargo, halafu kuna lingine nawapa specification mwenyewe ndani ya Domingo hapo, halafu trademark naweka jina langu "Don Kiranga" karibu utaliona mtaani.

Unayazibukia nini? Ulipate hilo kwa evening walk viungani huku kipupwe hiki....

Unapata flavor kuanzia za Che mpaka Churchillian.

48397.jpg

w_churchill.jpg
Nayazibua special occasion sana sana haya ya Thompson......... Don Kiranga linatoka lini?
 
Nayazibua special occasion sana sana haya ya Thompson......... Don Kiranga linatoka lini?

Thompson wanahusika, halafu wana ma humidor yao fulani classic. Don Kiranga linatoka mwakani tunaufanyia mjani wa Dominica uchambuzi, some hand rolled joints and all that good stuff, the right marketing, utaliona tu.
 
kuna mod humu anaitwa feng au fang hivi
anapaswa kushindanishwa....but all in all hii thread ni very interesting..lol
 
hahahahaha Mwita ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.ujanja wote mfukoni....ukijidai mjanja JF kuna wajanja zaidi yako lol
 
Wewe umejuaje kama hizo ndo lugha anazozungumza?

Wivu wa kitoto na ukurupukaji wa kijinga!
Kwa hiyo akizungumza lugha nne ni genius lakini sio Kidigo, Kidengeleko, Kiswahili na Kiingereza. Wewe ni limbukeni, zungukuku, kabwela mwenye mtindio.... Eti mtu akizunguma lugha nne genius.
 
Kwa hiyo akizungumza lugha nne ni genius lakini sio Kidigo, Kidengeleko, Kiswahili na Kiingereza. Wewe ni limbukeni, zungukuku, kabwela mwenye mtindio.... Eti mtu akizunguma lugha nne genius.

Huyo anaakisi idadi kubwa ya Watanzania.

Mimi kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa eti ukienda kwenye usaili wa kazi Tanzania, kama usaili unafanyika kwa Kiingereza na ikitokea wewe msailiwa unalonga vizuri hiyo lugha basi kuna uwezekano mkubwa wa kupata kazi.
 
Back
Top Bottom