Kiboko Yenu
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 311
- 66
Tapeli mwingine yuko kushoto kwako
Kafunga kilembe ana anavuta fegi
Huyo anayejidai kusoma gazeti.
Mtupu ndio nini?
Mtupu ndio nini?
mtupu! Hakuna jambo lolote la maana waliloandika humo ndani zaidi ya umbea na uzushi.Gazeti lenyewe la udaku limejaa uongo mtupu
Kushambulia waendao kinyume na rules za Jf hicho kitakua kitu nisichokiacha kamwe !
uzushi wenyewe unasema eti wema karudiana na diamond, na ukurasa unaofuata unasema eti siyoi ajiunga na Chadema baada ya kushindwa uchaguzimtupu! Hakuna jambo lolote la maana waliloandika humo ndani zaidi ya umbea na uzushi.
uzushi wenyewe unasema eti wema karudiana na diamond, na ukurasa unaofuata unasema eti siyoi ajiunga na Chadema baada ya kushindwa uchaguzi
Ndani ya JF watu kama wewe wanakera sana na nakushauri utuondolee kiwingukamwe hatuwezi kufanana kimawazo humu ndani
mbele tuendako tutaweza kufanikiwa sana kama tutajikita kwenye maslai ya Taifa.Uchaguzi wa Arumeru ushakwisha sasa tuangalie ya mbele.
Mbele yetu kuna mambo mengi sana tunayoaswa kuwa nayo makini kama watu wasio na upeoUchaguzi wa Arumeru ushakwisha sasa tuangalie ya mbele.
Mbele yetu kuna mambo mengi sana tunayoaswa kuwa nayo makini kama watu wasio na upeo
Mbele yetu kuna mambo mengi sana tunayoaswa kuwa nayo makini kama watu wasio na upeo
Mbele yetu kuna mambo mengi sana tunayoaswa kuwa nayo makini kama watu wasio na upeo
upeo wako ni mdogo ndio maana unaona kuna mambo mengi...