JamiiForums game of the year

Nanilii leo sijamuona kabisa, kwani umemficha wapi? Mie sichezi kombolela mama atanichapa.
Hehheeee anafia nchi leo hataki utani...
Saa hizi ameenda kujenga afya
Mtoto mzuri wewe mwaya usicheze
 
Nitonye atakuja kuthibitisha hili...hahahahaha afu kweli una bahati ya kukutana na hili jina!

Jina langu la nitonye lamjua sweetylady peke yake maana ndilo lilochukuwa moyo wa nitonye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…