Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sweetlady ananiigisha story hapa....vipi Queen hujambo mrembo wewe?
Abeesweetlady...
Sweetlady ni mke halali wa nitonye.
Anaweweseka utadhani kaachika.Pombe anazokunywa b52 ni aina ya mataputapu ndio maana anaweweseka
Usije ukacheza kombolela usiku eehAbee
bht,..
Nitonye atakuja kuthibitisha hili...hahahahaha afu kweli una bahati ya kukutana na hili jina!nitonye nitonye..kila nitokeapo lazima atokee wakumtaja nitonye
Usije ukacheza kombolela usiku eeh
Halafu umenionea nanilii?
Nanilii leo sijamuona kabisa, kwani umemficha wapi? Mie sichezi kombolela mama atanichapa.Usije ukacheza kombolela usiku eeh
Halafu umenionea nanilii?
QK mambo?nitonye nitonye..kila nitokeapo lazima atokee wakumtaja nitonye
sms hata kwangu ni mgogoro sana....teh halafu tigo wananinyanyasa sana na sihamiSimu yangu toka jana inasumbua haswa kutuma na kupokea sms.
Jamani mbona hujafuata mashart ya thread bht?QK mambo?
Yule alikudondokeaga tukapiga upatu yuko wapi jamani?
Hahahaaaaa umeibuka na wewe? Akha huyo mi sinilikuwa nakusaidie kupiga debe juzi kati aisee mbona hivo?nanilii nani the boss
The Boss anatafutwa tangu wiki iliyopita haonekaninanilii nani the boss
QK mambo?
Yule alikudondokeaga tukapiga upatu yuko wapi jamani?
Kabisa kwa hapa kunata na beat imeniwia ngumu aisee maana neno lako la mwisho limekuwa sio user friend tehwewe nawe wajionaje hali?..mim niko mzima kabisa.
sms hata kwangu ni mgogoro sana....teh halafu tigo wananinyanyasa sana na sihami
Hehheeee anafia nchi leo hataki utani...Nanilii leo sijamuona kabisa, kwani umemficha wapi? Mie sichezi kombolela mama atanichapa.
Nitonye atakuja kuthibitisha hili...hahahahaha afu kweli una bahati ya kukutana na hili jina!
Afu kapoteaga mazima lol.QK mambo?
Yule alikudondokeaga tukapiga upatu yuko wapi jamani?