sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Ndoa tulishafunga kitambo, hivi sikukualika?..Jina ninalojivunia kukutana nalo ni la Yesu,,hilo la mchumbako hata mc atapata shida kulitaja siku mkifunga ndoa.
Afu huyo anaechungulia kwa dirishani mwambie aingie ndani atusalimu manake tulimpigia sana debe siku ile.