sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Haiwezekani, mie pia sintokubali.kabisa unanionea,yaani debe lile halafu niwabanie,haiwezekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani, mie pia sintokubali.kabisa unanionea,yaani debe lile halafu niwabanie,haiwezekani.
sintokubali hii thread kuisha bila my love kuja kuungab trailer.....ngoja nikamtafuteHaiwezekani, mie pia sintokubali.
Shughuli itafanyika ukumbi gani?
kabisa unanionea,yaani debe lile halafu niwabanie,haiwezekani.
Nikamtafute? Mbona nitonye niko nae hapa?sintokubali hii thread kuisha bila my love kuja kuungab trailer.....ngoja nikamtafute
sintokubali kuona waliotupigia debe wakilalamika nitahakikisha wanafurahi siku moja sababu ndio marafiki wetu wa kweli.Haiwezekani, mie pia sintokubali.
Suuuuuu.
Siku nikukute unampambia wangu kisa kadondokewa....kichwa chako halali yanguHahahaha! Ila jf ina wapambe lol..
Kupatikana mshindi itakuwa ngumu labda mnipe tu mimi kwa kuamua.Haiwezekani mshindi wa hii game kupatikana.
Hehehe! Wako sithubutu asilani, labda kama niliwahi pamba kwa bahati mbaya zamani, tena ni vile tulikuwa hatujakutana kijijini ukanitambulisha lol.Siku nikukute unampambia wangu kisa kadondokewa....kichwa chako halali yangu
Uchaguzi wa Arumeru ushakwisha sasa tuangalie ya mbele.
Hahahaha! Ntake radhi director1 kabla sijareport abuse lol.sweetlady unapika saa ngapi au na wewe unakula bar
upeo wako ni mdogo ndio maana unaona kuna mambo mengi...
MENGI la baba yake,mwenyewe anaitwa LEDNAND.owner wa ipp media
Na upeo huu niuonao kwenye Uzi huu nimekubali Jf ni vichwa!
Ya mbele tayari prof.majimarefu katuonesha ni bora tuangalie ya nyuma.
Kweli hapo utakuwa umefanya jambo la maana.sintokubali kuona waliotupigia debe wakilalamika nitahakikisha wanafurahi siku moja sababu ndio marafiki wetu wa kweli.