JamiiForums game of the year

Jina ninalojivunia kukutana nalo ni la Yesu,,hilo la mchumbako hata mc atapata shida kulitaja siku mkifunga ndoa.
Ndoa tulishafunga kitambo, hivi sikukualika?..

Afu huyo anaechungulia kwa dirishani mwambie aingie ndani atusalimu manake tulimpigia sana debe siku ile.
 
Ndoa tulishafunga kitambo, hivi sikukualika?..

Afu huyo anaechungulia kwa dirishani mwambie aingie ndani atusalimu manake tulimpigia sana debe siku ile.
Enheee kumbe unakumbuka tulivyopiga debe eeh?

Queen anatubania saa hizi, daah sio fea kabisa
 
Lol, una kesi ya kujibu.
Kujibu mi ndo mwenyewe....hivi hukuona ile hukumu yangu kule jukwaa la malalamiko?
Teh kaangalie ndo ujue na kesho lazma tuibuke kidedea pale kwa Lema
 
Ndoa tulishafunga kitambo, hivi sikukualika?..

Afu huyo anaechungulia kwa dirishani mwambie aingie ndani atusalimu manake tulimpigia sana debe siku ile.

ile siku ilikua mwanzo wa kitu kizuri kwangu we acha tu.
sijui kwa nini jamaa hataki kuingia ndani yaani yeye zake ni kuchungulia tu kwa nje.
si uliona ukinialika labda sitakua na uwezo wa kutoa mchango.
 
Haipogo kabisa au we umeiona wapi?
Unashangaa lugha?

lugha chafu wakati mwingine husaidia,mfano kuimaliza hii thread nasubiri usiku wa manane wote mmelala namalizia kwa kuandika bonge la tusi watu wote mtaogopa kurudia kuepuka ban!semeni suuuu!
 
lugha chafu wakati mwingine husaidia,mfano kuimaliza hii thread nasubiri usiku wa manane wote mmelala namalizia kwa kuandika bonge la tusi watu wote mtaogopa kurudia kuepuka ban!semeni suuuu!
Suuuumbuka ule ban ya usiku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…