JamiiForums game of the year

Club ya MTIBWA kutoka manungu turiani wameweka mpira kwapani kwa vyovyote na mimi ndiye nitakuwa mshindi hapa kwa kuweka zawadi kwapani.
 
ataweka nani tena jamani hili gemu haliishi tu mbonakazi ipo bora lianzishe lingine coz hili lisha expire tangu majuzi!
 
ataweka nani tena jamani hili gemu haliishi tu mbonakazi ipo bora lianzishe lingine coz hili lisha expire tangu majuzi!

Tangu majuzi nilikuwa naΓΆngoza, debito umetokea wapi tena?
 
Last edited by a moderator:
macho yatawatoka sana mkishuhudia ninavyoondoka na zawadi, ila nitawagea msijali wapendwa
wpendwaaa mabibi na mabwanaaa....napenda kuchukua nafasi hii kumtangaza rasmi mshindi wa JF GAME OF THE YEAR πŸ™‚clap2::clap2::clap2::A S 41::clap2::A S 41::clap2::clap2::clap2πŸ™‚...mshindi wetu ni ndugu sijui nini ....makofi tafadhali..:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41:
 
Last edited by a moderator:

Tafadhali, usitake watu wakupigie makofi kabla game halijaisha.
 
Last edited by a moderator:
halijaisha halafu anajiandalia mazingira,hatutaki rushwa humu ohooo! atatoka mtu manundu:-( YINNAH mi wa hapahapa ndugu
 
halijaisha halafu anajiandalia mazingira,hatutaki rushwa humu ohooo! atatoka mtu manundu:-( YINNAH mi wa hapahapa ndugu

Ndugu yangu YNna hachezi mbali, hahahahaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…