JamiiForums game of the year

Na upeo huu niuonao kwenye Uzi huu nimekubali Jf ni vichwa!
Vichwa maji kwenye siasa wapo wengi sana, hilo nimeligundua baada ya kufuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika hapa nchini.
 
Ashadi hatimae nimekuona! Nimesikia sana jina lako na sasa fanya hima mrembo
kamuambie
jinsi gani mimi mwanaume wa haja namufaa Michelle my queen.
 
upeo wako ni mdogo ndio maana unaona kuna mambo mengi...

Mengi yamepita katika chaguzi za arumeru na udiwani mwanza na kadhalika...ila ishara zimeonekana...
 
Ashadi hatimae nimekuona! Nimesikia sana jina lako na sasa fanya hima mrembo
kamuambie
jinsi gani mimi mwanaume wa haja namufaa Michelle my queen.

Queen HUSNINYO haiwezekani uzi huu ufike mwisho iwe sijamtaja Asali wangu!
Mammiy wa maraha!
Mama-Penzi !
 
Vichwa maji kwenye siasa wapo wengi sana, hilo nimeligundua baada ya kufuatilia chaguzi ndogo ndogo zilizofanyika hapa nchini.
nchini kwetu kuna changamoto nyingi sana ikiwemo, ajira na mfumuko wa bei
 
Nao wabunge wa chama chake wamenyamaza kana kwamba wamefurahia kilichotokea.

kilichotokea dada yangu nimewletea jiko jipya, anaitwa Smile....amewaambia tayari?
 
Queen HUSNINYO haiwezekani uzi huu ufike mwisho iwe sijamtaja Asali wangu!
Mammiy wa maraha!
Mama-Penzi !
Penzi la wife ni la kiwango cha juu sana....Uko wapi mylove Amy?
 
Unazokunywa wewe hazina madhara hivyo ni vizuri kama ungemshauri na Bagah abadili anywe kama zako.
Zako ni nzuri sana....hazina kilevi...nitamshauri Bagah aige mfano wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…