Ndugu yangu YNna hachezi mbali, hahahahaaaaaa.
Hiyo gari mbona kama ya Lulu?
YNNAH acha hizo, usijifanye hujui mi ndo mshindi..!!:rockon:
@ YNNAH acha hizo, usijifanye hujui mi ndo mshindi..!!
game limeshaisha mda mrefu tu Remmy...we hujui?Mshindi atajulikana mwisho wa game.
we hujui? Jamani nakuonea huruma. Ulikuwa wapi mshindi nikitangazwa?
hajapatikana wapi wakati ndio nimeshinda...
mimi ndo nimetangazwa mshindi hata hivyo..Nimeshinda mimi
mimi ndo nimetangazwa mshindi hata hivyo..
tete bado kwako....mshindi nshajulikana!!Hatuelewani kwa sababu hali bado ni tete!!!
...mshindi..mshindi....aaarghhh...no bloody mshindi here zaidi ya sijui nini .. ebo!!Nshajulikana YNNAH mshindi