....zinahesabika kama Gharika ya Nuhu,
na tukiwakamata...
Tukiwakamata ni lazina waseme alichowakoseag
alichowakosea kitajulikana siku hiyo.
Madame b,
natangaza rasmi kufunga hili game.
game is over.
over why over
over my deadbody, i will not let u win this game!
Kamwe sitaelewa hii nchi inakotupeleka.
inakotupeleka ni wapi kwanza mamndenyi?
Mamndenyi hv mwanao kafia wapi? Au yuko kwenye Mgomo?
Maana ndoa tamu.
tamu mkiwa waaminifu...vinginevyo ni kilio.
wazi wazi masela wana mmendea demu wangu jaman hawana hata aibu
Mamndenyi hv mwanao kafia wapi? Au yuko kwenye Mgomo?
Maana ndoa tamu.
Tamu kweli lakini ndo Kongosho kesha mteka sijui nitamtoaje huko kwa
huyo mama sukari.
sukari na kile kidude kipi kitamuu?
Kile kidude acha tu mkuu,
...Kinajenga nyumba,
...Kinanunua gari,
...Kinawagombanisha,
...Kinasomesha watoto,
...Kinanunua kiwanja,
...Kinakupa ajira,
...Kinawaweka mjini madada,
Na mambo mengine mengi.
Yani kile kidude acha bhana...!!!
Najivunia kuwa nacho...!!!
Jivunie fahari yako...!!!
Mchezo huu haufai wa kupelekana na kuuana huko MabwepandeYako inaharibu mchezo.
Mchezo huu haufai wa kupelekana na kuuana huko Mabwepande
Mabwepande kule walikopelekwa wahanga wa Mafuriko?