Wewe mwenyewe unayaweza au ndio unataka kuonekana kidume mbele yetu?
Yetu yanatuendea vizuri hofu kwa Asprin.
Asprin zimeadimika siku hz Mamndenyi,
Ukienda madukani ni ma-Panadol ya Kenya na Hedex.
"Msininukuu vibaya"
Vibaya tayari umeshanukuliwa kazi ni kwako tu wewe mrembo.
Mrembo mwenzangu,
yani cjui tafanyaje Babu Asprin kiona navo'mchakachua humu Gemuni Jf..!!!
JF where we dare to talk openly!
Openly like Lango la Polisi.
mmoja wenu anacheza rough sana..bhooo!
bhooo.....!! Ndio nini?
nini? Wewe acha ushamba
Ushamba kulijua Bhoo..!!!
Me mwenyewe clijui hlo Dubwana.
Dubwana tena!? hivi kuna dubwana jingine nchi hii zaidi ya ccm!
huo ndio ukweli na suala liko UCHIccm ni janga la kitaifa japo wengi hawataki kukubaliana na ukweli huo.
huo ndio ukweli na suala liko UCHI
Uchi kama.....
Mchumba'angu.....!!! Kumbe una mchumba? Dah! Sina changu nilishaanza kujipanga kurusha nyavu........Kama wa Binadamu.
Aisee tamu sana kile kitu.
Sema huwezi ondoka nacho.
Ningekuwa na uwezo,natia ktk Handbag naenda nacho Kazini kiungo cha Mchumba 'angu.
Mchumba'angu.....!!! Kumbe una mchumba? Dah! Sina changu nilishaanza kujipanga kurusha nyavu....
Nyavu zikinasa Baharini zinaweza ibuka na Chochote Katavi
So,endelea tu kurusha...!!